Wasichana wengine ni waajabu na wabaya kweli!

Kama nakuona ulivyokuwa mdogo baada ya ku expect sauti ya mdada anapokea kidume mwenzio lol! Sema na wewe umeficha other details pengine alikataa kukupa number ukambembeleza weeeh akaona akukomoe!
 
Kama nakuona ulivyokuwa mdogo baada ya ku expect sauti ya mdada anapokea kidume mwenzio lol! Sema na wewe umeficha other details pengine alikataa kukupa number ukambembeleza weeeh akaona akukomoe!
Yah hilo linawezekana aisee km asingeforce asingedanganywa
 
Bila kumung'unya maneno huyo mdada mzunguko wake wa nukta kichwani una mushkel ! Na wenye matatizo hayo tiba yao inapatikana pale kwenye mji wachina walipotujengea jengo la kutunga sheria!
 
Kila mtu ana defination yake ya uzuri...Yani mimi sibabaishwi na uzuri wa sura au wa make up.

Mimi natazama kwanza tabia....Na reason yangu kusema vile kutokana na mwanamke huyo kumlet down dogo, nimejuwa sio mzuri.

Mwanamke mwenye heshima asinge toa wrong number.....Angemfahamisha yule kijana kama ana boi friend au mke wa mtu hivyo hawezi kumpa number yake.

Kuhusu point yangu kusema mwanamke akiwa mzuri na mtazama wala simsemeshi ni true....Huwa na Mtazama tu.

Akianza kunitazama na kuniuliza kwanini na mtazama najua kumbe ni bure tu mana anataka nimsifie.

Kizuri kinasifiwa sio kijiulizishe kama kizuri....Anaposema kwanini na mtazama lazima anatega sikio nimsifie kama yeye mzuri.

Na hapo najua wazi kwamba yeye ni zero tu....simsifiiii maisha yake.

Matatizo ya kutojiamini ni mabaya sana. Yanakufanya utafute definition za ajabu ajabu kwa kila wanachofanya watu wengine ili upate pakuhemea.
 
Yani dogo lazima kachukia sana na yeye mwenyewe anaji let down sana...Mwanaume lazima ujithamini smtimes.

Kama mwanamke kakudharau wewe mdharau mara mbili yake.

Nampa big up huyo dada tena mara mia, ukimdharau mara mbili ndo mwake sasa, limekukera ili usiendelee kumsumbua kabisa!!
 
Men wengi hawajitofautishi ktk style za kutongoza ,mpaka wanawachoka una haraka ya nini ,Ombeni emails .
 
Matatizo ya kutojiamini ni mabaya sana. Yanakufanya utafute definition za ajabu ajabu kwa kila wanachofanya watu wengine ili upate pakuhemea.
Haaaa nani ajiamini???

Mimi najiamini sana tena sana, soma vizuri utajua mimi nampa dogo ushauri ajithamini yeye....Yani asibabaike sana na huyo demu kama kam-ignore.

Yani siku mimi sijiamini ujuwe jua litatokea Magharibi kuzamia Masharikii....4 Y I; Mara nyingi sana mimi na observe mwanamke kwa njia nyingine na kaka yangu....Hata kama tumetoka tumbo moja....hahaha.

She may be beautiful, lakni sioni sababu ya kumuomba demu simu pale pale......Hawajakosea walio sema; Kama chako kitakuwa chako tu....Wazungu hawajakosea walipo sema love is a completely different thing, you need to know someone's personality before you can love them.

Yani hapo huyo demu personality yake iko down sana...Kwanza muongo kampa kijana wa watu wrong number ili asumbue watu wengine....hatujui mengine yalio jificha.
 
Yale yale toka kwa wale wale.
Njia pekee mnayoweza kujisikia na nyie mpo kwenye chati ni kuwapa watu wengine majina na sifa zisizo na maana.

Next time. . . JARIBUNI SIZE ZENU!!
 
Yale yale toka kwa wale wale.
Njia pekee mnayoweza kujisikia na nyie mpo kwenye chati ni kuwapa watu wengine majina na sifa zisizo na maana.

Next time. . . JARIBUNI SIZE ZENU!!
Nani anaye wapa wengine sifa mbaya??

Mimi naongelea point ya huyo demu, kama yeye anasifa nzuri atakuwa muongo??

Mpe ukweli mtu yaishe, yanini kumpa wrong number.
 
Ngoja niongeze nguvu kushawishi mods kupiga ban wote wanaotunga na kurudia thread humu ndani
 
Nasitika saana sometimes wadada/mama the length we go.... Ilitakiwa tu akwambie kua hataki ama hayupo comfy kukupa number; labda kama ulimlazimisha... Pole aisee!
 
Ngoja niongeze nguvu kushawishi mods kupiga ban wote wanaotunga na kurudia thread humu ndani
 
kaka ukiona hivyo ujue hayupo reachable!! kwanza unapaswa kushukuru mungu, what if angekupa namba na ukaanza kale kamchezo ka baba na mama nae kumbe baadae ukagundua mko wanaume kama ishirini hivi mnashirikishwa katika hiyo single moja!! nauliza: ungejisikia vipi ukilinganisha na unavyojisikia sasa? so naona amekusaidia kwa namna moja
On the other hand yawezekana wewe ni eat and run so akakungámua mapema nia yako ndo mana ukapewa kubwa.... all in all pole sana, panga vizuri vina na inshallah utampata wako kama huna na kama unae acha hiyo tabia....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom