Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
Yaani mama kama watoto wa-kishua wangekuwa na kitu cha ziada kinachowafanya WAJIONE EXPENSIVE mimi ningewahonga hata uhai wangu!wanakwepa gharama tu hawana lolote, wanaogopa shopping za namukat wanataka wa kuwapeleka tandika sokoni.....starehe gharama bwana.
bahati mbaya sana WANAWAKE NI WALEWALE!kibaya zaidi watoto wa uswazi WANAWAFUNIKA WATOTO WA KISHUA kwenye kila idara!