Wasichana wa bongo hawajui kitu kinaitwa 'good time'

na sio rahisi kukubali nikikwambia hvyo...inabid nizuge tu
Basi tukiganda shauri yako.. unaweza niambia hey naweza pata company yako. Nitakujibu ndiyo haya niambie sasa ukweli umevutiwa na me na mi nione kama nimevutwa mbona hapo unaeleweka tu
na sio rahisi kukubali nikikwambia hvyo...inabid nizuge tu
Basi tukiganda shauri yako.. unaweza
 
Basi tukiganda shauri yako.. unaweza niambia hey naweza pata company yako. Nitakujibu ndiyo haya niambie sasa ukweli umevutiwa na me na mi nione kama nimevutwa mbona hapo unaeleweka tu

Basi tukiganda shauri yako.. unaweza
Wanawake wa jinsi hyo kizazi chao hatujakifikia
 
Hivi kwanini wanawake wa kitanzania wapo very serious na ndoa na watoto? Mtu unamkuta ofisini,club au mtaani unamtongoza anakupa game mara kesho yake anakwambia anakupenda sana hadi anadiriki kuanza kuelezea mipango yenu ya maisha ya pamoja ya ndoa. Acha hiyo wengine baada ya game hata kama ulitumia kinga baada ya wiki anakuja na habari ya mimba na ukimdadidisi unapata hisia kabisa hiyo mimba ilitegwa sasa ningependa kupata maoni ya wadada kwanini mnalazimisha sana ndoa na watoto ambao sisi hatuwataki au hamjui saa nyingine wanaume tunataka good time na siyo drama za ndoa na watoto.
Huyo Mwanamke ulie mpata atakua chini ya kiwango,ivi mwanamme hata hujui kama kikojozi au hata kama anapiga msuwaki asubuhi unaanzaje kumwambia habari ya kuowana hata kumjua kwenye humjui! huyo atakua anatafuta hifadhi,a real woman hajipeleki kwa mwanamme kama pipi hivyo kwanza sikuizi wanawake wengi wanajitambua na wanajua kua wanaume wengi hukodisha nguo kwa dobi na wanakodisha gari kujishaulia bara barani...
 
Kuna a friend of ours alituuliza "eti mwanaume akiuliza una mtoto?,si ina maana ana malengo na wewe"...

Tukamwambia hatujui ila don trust him...

Alichofanyiwa imebaki story kila tukimeet...

Swali moja tu akahisi the guy is sooo into her...sad
 
Hata Sijakuelewa bi dada unamaanisha nini
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom