Wasichana wa ARUSHA na DAR wepi ni wakali zaidi..!?

madem wa arachuga ni funiko kwanza kisomo juu then kwa ujumla arusha is next step
 
madem wa arachuga ni funiko kwanza kisomo juu then kwa ujumla arusha is next step

Kisomo gani? Au cha madawa ya miti shamba? Hawa masai wananishangaza sana, wanakuuzia dawa kisha wanakupa na nyongeza. Sasa najiuliza, hii dawa haina dozi hadi upewe nyongeza kama fungu la nyanya?
 
Wa Arusha hovyo kabisa kwanza wengi meno yameoza, wamezoea rouGh treAtment tokA kWA machali So hawako Soft nA ni waselA sana mie pigA uA sichukui demu Anayeishi ArushA unless ni wa Arusha lakini kakuLia Bongo, iko wazi mademu wa Bongo kila kitu bwana...
 
Wa Arusha wengi wazuri tatizo lao ni moja, ukimualika Dinner mmoja anakuja na wenzie wanne!
halafu kinywaji ambacho mmoja ataagiza wote watasema hicho hicho.mala nyingi wanapendelea serengeti na mishikaki.kabla ya kunywa hiyo bia anachana kwaza karatasi iliyobandikwa kwenye chupa.mia
 
Mademu wazuri dar na ars but tofauti ni kwamba dar huwezi pata demu mkali hvi hvi isipokuwa wanaenda na levo yako wewe nyangema kwa nyange na mrembo kwa hb,so wakali wapo tena haswa lakin ars wakali weng pia kama dar isipokuwa hawana makuu na yeyote anaweza kumiliki.kama ishu ya wale wasiovutia kote pia wapo kwa kiwango kilekile ingawa nao pia ni wazur kulingana na m2.but usiweke ukabila coz wapo wamasai,wapogoro wazur sana,tu.i love all atown gals coz of their simplist.
 
Wa dar wazuri coz ni mchanganyiko wako tofauti tofauti.Ila Arusha wazuri lakini aina moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom