Wasichana wa ARUSHA na DAR wepi ni wakali zaidi..!?

Pat Gucci

Senior Member
Jun 7, 2011
140
19
Aisee wanaJF wenzangu ninaomba tujadiliane kuhusu hii kitu kuhusu mademu wa Arusha na Dar wepi wakali zaid na wenye Swagga za ukweli.......?
 
kwan we wa wap? lakin inaelekea we ni wa aruchuga maana umeanza na aisee...
 
Wasichana wa Ar nawakubali sana.wasichana wengi wa dar ni mashankupe,si watafutaji yaani ni wafuga kucha,wanapenda starehe kuliko kazi na wasichana wa dar unakuta msichana mmoja ana vidumu vitano.wasichana wa dar sio...MIA.
 
alafu wa Dar wambea kinyama! Ucpyme jombaa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom