Wasichana mnajisikiaje pale mnaposifiwa na wenzi wenu?

ladies kama una partner wa hivyo mshauri like "Baby why usitoe single?"...Itauza honey, You know una kipaji ambacho mayb me ndo nakivumbua
 
too much of anything is harmful, ingawa kinaweza kuwa kimefanywa kwa nia njema tu
 
1)sio siri itanikera nisifie kiasi ila sio kila saa sasa mana nitakuona mtoto wa mama na kuona unafanya ivo ili kuficha mazambi yako huko nje ili nikisikia niseme hawezi kufanya ivo mana ananipenda sana .........
2). kwakweli atakua ni zuzu mana mwanamume wa ivo hakuna dunia ya leo khaa!
3) mapenzi yaivo yanakera saaaaaaaana
 
ladies kama una partner wa hivyo mshauri like "Baby why usitoe single?"...Itauza honey, You know una kipaji ambacho mayb me ndo nakivumbua

patachimbika hapo teh teh teh... yaani jamaa anajitahidi kulea penzi halafu anazodolewa hivyo?
 
wanaume hawana kawaida ya kusema maneno haya 24/7. sisi wanawake ndio mara nyingi ni wepesi. huyu wa kwako ana lake jambo. isije ikawa kuna mambo anaficha. mchunguze. usidhani anakupenda, kumbe maneno haya kuna msururu wanaambiwa the same words.
 
eeewalaaaa
 
Wanawake bana, sijui mumeumbwa vipi, mkiambiwa ukweli mnakataa kabisa ila Uongo mnakubali moja kwa moja tena mnaingia kichwa kichwa ka mbwa na chatu
 
1)sio siri itanikera nisifie kiasi ila sio kila saa sasa mana nitakuona mtoto wa mama na kuona unafanya ivo ili kuficha mazambi yako huko nje ili nikisikia niseme hawezi kufanya ivo mana ananipenda sana .........
2). kwakweli atakua ni zuzu mana mwanamume wa ivo hakuna dunia ya leo khaa!
3) mapenzi yaivo yanakera saaaaaaaana

Great!!
 
From My Own Experience , Mara nyingi Wazinzi wanamaneno ya hivyo kutwa kucha ! Ili Usimuhisi kabisa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom