Washili wampa go ahead(Baraka) Joshua Samwel Nassari huko Arumeru....

Haya ya washili kupingana yalitegemewa kutokea na tutaendelea kuona vituko vyao kadri siku zinavyosogelea uchaguzi. Washili kutoka koo zinazomuunga mkono Sumari nao watakuja kivingine just stay tuned. Bado mahesabu yanawapa ushindi Chadema kama wakizichanga karata zao vizuri, off course na kulinda kura zisiongezwe wala kuibiwa. -Wahakikishe kura za wakuja wanazipata 90%+ (Easy task) -Wahakikishe wanatumia mwanya wa mgawanyiko wa makundi ndani ya CCM kumpata mgombea kuvuna kura. -Wahakishe wanatumia mgawanyiko wa koo za kimeru kugawana kura na CCM. Wakifanikiwa hayo ushindi ni lazima. Kila la kheri CDM
 
Wazazi MI CDM ila kwa issue zilivyo kaa dogo watampiga chini issue ya ardhi Meru it is too sensitive to be taken as the main campaign agenda na dogo anibebea bango hiyo issue wenye mashamba makubwa wataungana watamchinjia baharini tu mi nasimama hapa wazazi mpaka 1st April; Nassary must learn not to talk more than it is necessary.
 
ukiniuliza kwa nini nimeipenda CHADEMA sijui, na ukiniuliza kwa nini nimeipenda Asernal na Simba hapo ndio kabisa labda kama unataka kunitoa chozi utukane chama langu cadema au utukane kilabu changu
 
Wazazi MI CDM ila kwa issue zilivyo kaa dogo watampiga chini issue ya ardhi Meru it is too sensitive to be taken as the main campaign agenda na dogo anibebea bango hiyo issue wenye mashamba makubwa wataungana watamchinjia baharini tu mi nasimama hapa wazazi mpaka 1st April; Nassary must learn not to talk more than it is necessary.

Toa woga wako hapa.Magamba mmezoea unafiki sana na ndio maana mnatoa ahadi za uongo
 
ukiniuliza kwa nini nimeipenda CHADEMA sijui, na ukiniuliza kwa nini nimeipenda Asernal na Simba hapo ndio kabisa labda kama unataka kunitoa chozi utukane chama langu cadema au utukane kilabu changu

Asante mkuu
 
Taarifa rasmi toka kwa kamanda Vicenti Nyerere atakaye ongoza kampeni za CHADEMA huko Arumeru Mashariki ni kuwa wazee wa kishili kata ya Songoro kijiji cha Kilinga wilayani Arumeru wamempa baraka zao mgombea wa CHADEMA..Wakionyesha kukubali kwa chaguo hili la chama makini CDM wazee hawa walimfanyia ibada ya kimila kwa kumshika kichwani kama ishara ya baraka kwa kijana huyu...Hili linaweza kuwa ni pigo kwa mzee Tendwa msajili wa vyama vya siasa na mshili mkuu ambaye ni ndugu wa karibu wa Sioyi Sumari ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitoa taarifa hasi dhidi ya CDM na hasa Mbunge wa Arusha kamanda Godbless Lema.
View attachment 48758

Hii ni picha ya wazee hawa wakimuwekea mikono kamanda Nassari..

Hakika wazee wa kishiri wataingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kama mashujaa wa kutetea haki.Hongereni sana wazee wa kishiri
 
ni vizuri kuomba kupitia wazee,lkn siyoi nae ana wazee wake,pili uchaguzi huu ni wa kura sijui kama washili ndo wanapiga kura peke yao ,tatu walioacha kumchagua nassary 2010 ndio hao hao wanapiga kura tena hakuna wapya je kuna kitu kipya wataona kwake.lbd tufananishe na yule aliekua na mtaji wa kura 11,000 kule igunga
 
Kwani Washili wako Songoro tu????.Vipi Akeri,Poli,Mulala,Ngarenanyuki,Leguruki ect Jamani mambo mengine ni utani.Tusubiri siku ya kura
 
kwa kweli Mungu ampe baraka mwaasisi wa chama hiki kipenzi cha roho yangu cdm.Kila siku napiga sala mbele ya muumba ije siku hiyo ya kukisimika chama hiki kuwa chama tawala.Mungu akupe maisha marefu chama cha demokrasia na maendeleo.
 
Tunategemea ushindi wa kishindo,yule mzinzi Mwigulu bado yupo Arumeru?

.
Atakuwa anamsaka kada mkereketwa mwenye mke mzuri Arumeru ili amweke busy kwa ile pesa ya fisadi mwandamizi waliokabidhiwa.
.
 

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom