Washili wampa go ahead(Baraka) Joshua Samwel Nassari huko Arumeru....

Kwani ili ushinde lazima upitie kwenye mikono ya ushirikina?
Sio kila mkono unao wekwa juu yako ni wa baraka,...mingine ni ya laana.
 
Hii habari ni kama MKUKI MOYONI mwa CCM...

Wao kila siku walikuwa wanaibuka humu na habari za wazee wa kimila kama gia yao ya kuibia kura. Kumbuka Igunga walikuwa wanasisitiza kuwa vijana hawaonekani kabisa vituoni kumbe wanaiba kura. Sasa Meru Washiri wako na Nassari, vijana wako naye, sijui wapi pa kujishika Mwigulu.
 
Itabidi CCM wawahi kwa maloiguanan sasa. Meru nafikiri waislamu ni wachache sana, na hawavai hijabu
Haya ndiyo hatuyataki,usivuruge thread kwa maneno yako huku ukijifanya ni mfuasi wa CDM,hayo ni yako tuu
 
Kwani ili ushinde lazima upitie kwenye mikono ya ushirikina?
Sio kila mkono unao wekwa juu yako ni wa baraka,...mingine ni ya laana.
yaani ninyi sisiem mna matatizo kweli kwani aliyekwambia kuwekewa mikono ni ushirikina nani? ushawahi kwenda kanisani ukamwona baba paroko anavyowawekea waumini wake mikono baada ya matukio kadhaa kama kurudi kundini , kufunga ndoa?
"bwana awabariki na awalinde, bwana awaangazie nuru za uso wake na wape amani............" kwa hiyo hapa napo ni ushirikina?
 
Nini maana ya wazee wa KISHILI? Hasa hili la mwisho? Hawa waliomwekea mikono nawaona wamekaa kama ni wachungaji wa kanisa fulani hivi hasa ukizingatia wamevaa kimagharibi zaidi kuliko kimila (kiasili).
 
Nani kakudanganya kuwa wale wazee wanavaa manyasi?
 
Safi sana wazee hakika Tendwa na CCM yake aibu yao imewakuta,walifikiri kule kuna Bakwata kama Igunga,kule hakuna hao Bakwata wanaoukandamiza uislam Tanzania.
 
This time kama CCM hawajaambulia 30% sijui maana kila tawi wanaloshika linateleza.

Chadema tunapaswa kufanya kampeni hasa siyo longolongo.....kuna viji bado wana mawazo ya kizamani kabisa huwezi kuamini.....eti Siyio atashinda tu kwa sababu anapesa...haya ni mawazo ya watu huku vijijini...chadema lazima tufike huko tupege kampeni ikiwezekana za kaya kwa kaya....wanachadema wote wapenda mabadiliko tuiwezeshe chadema ifanye kampeni za kutosha...
 
Wazo zuri,pia mumsisitize meneja kampeni na timu nzima ifike milimani na pia mashambani miskitini makanisani misbani na popote lenye kusanyiko
Chadema tunapaswa kufanya kampeni hasa siyo longolongo.....kuna viji bado wana mawazo ya kizamani kabisa huwezi kuamini.....eti Siyio atashinda tu kwa sababu anapesa...haya ni mawazo ya watu huku vijijini...chadema lazima tufike huko tupege kampeni ikiwezekana za kaya kwa kaya....wanachadema wote wapenda mabadiliko tuiwezeshe chadema ifanye kampeni za kutosha...
 
Binafsi nilishangaa upuuzi aliokuja nao Tendwa wakati ule, kwa Wameru niliowasoma katika historia nilitaka kushangaa kama kweli walisema alichokisema Tendwa. Ikumbukwe wameru ni mojawapo ya kabila ambalo waliwahi kwenda hadi UN enzi za ukoloni kudai maslahi ya watu wao hususan suala zima la ardhi. Kwa hatua hiyo waliyofikia ni jambo la heshima kwao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom