Washili Chadema Imeshawashtukia

Tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi wa wabunge jimbo la Arumeru Mashariki baada ya kutokea kifo cha muheshimiwa Sumari, lilijitokeza dosari moja kutoka kwa wanaojiita wazee wakimila wanaojulikana kama Washili kua hawatakubaliana na musheshimiwa Godbless Lema kufanya kampeni kwa mgombea wa Chadema kwakua alitoa maneno ya kashfa kwenye mazishi ya muheshimiwa Sumari ambayo kwao Washili hao wameona kitendo hicho kimewazalilisha.

Basi habari zinazoendelea hapa maeneo ya Usa River na vitongoji vilivyojirani na jimbo hili la Arumeru Mashariki ni kua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepata habari kua vizee hivyo vinavyojiita Washili ni usanii fulani kukwamisha juhudi za chama cha chadema kukosa nguvu kumbe vizee hivi vinatumia kinga hii ya kikwako kwakujiita wazee wa jadi huku wakipeleka nguvu kwa watoto wao wanaogombea kinyanganyiro hiki cha ubunge Arumeru Mashariki.

Mtakumbuka pia vizee hivi ndivyo vilivyotoa kauli na kuweka matangazo mji mzima wa Arusha kua watavunja chungu kwa wale woote waliohusika na sakata lile lililopelekea kwa kijana wao ambae ni mfanyabiashara maarufu aliyetumikia kifungo cha miaka mitano jela kwakile walichosema alihusika na mauaji yakutumia silaha na kupora madini ya wafanyabiashara wenye asili ya Kiasia. Washili hawa walitaka waliohusika wajitokeze ili waombe msamaha ama sivyo watavunja chungu, lakini tukio hili likaishia hewani.

Chadema imeshashtukia njama hizi zinazoendelea kupitia kwa vizee hivi vinavyojiita Washili ili kukwamisha juhudi za Chama Cha Demokrasia na Maendeleo lakini shime Chadema tusonge mbele! ALUTA CONTINUE!

Ndallo nahisi jana umelala Mrina kwa nini usitumie lugha nzuri kuleta habari mkuu.
Kapumzike kwanza na unywe maji mengi labda itakusaidia.
 
Namoba nisahihishe kidogo,si sawa kuwaita viongozi wa kabila zima vizee kwa kosa la mtu mmoja anayeshindwa kutumia akili yake.Inashangaza kuona kuwa ushabiki tu wa chama unatupoteza.Kwanza hakuna udhibitisho kuwa wazee wa kimila wamemzuia yeyote kufanya kampeni,hizo ni propaganda tu za kisiasa.Tusiwatukane viongozi wa Meru.Lema anaweza kwenda kufanya kampeni sehemu nyingine.Kwani lazima iwe Meru.Waachieni Wakazi wa Arumeru jimbo lao.
 
Ndalo lugha uliyotumia siyo nzuri ukizingatia wazee hawa wamesha kanusha kukutana tendwa na wakaahidi kufanya kikao leo ili watoe tamko la nini cha kufanya pengine wakaamua kufikisha mahakamani tendwa...basi tusubili tamko lao ndiyo tuwalaumu au tuwapongeze ikumbukwe tuko kwenye kampeni ccm wanatumia njia yoyote kupunguza kura za chadema tuepuke kucomment kwa kukurupuka..
 
Basi washindwe na walegee!
 
Kumbe Lema anawanyima usingizi Wameru?

una uhakika na ulichoandika?hapa ungesema Lema anawanyima ccm usingizi lkn si kabila zima!si busara kuita vizee ungetumia lugha nzuri tungeelewa pia, Nxt time tafuta mtu muelewa akufanyie editing
 
Mkuu jana ulilala Shivaz au Picnic? Tumia lugha nzuri asee isije ikakurudi. Washili ni real deal, kama hauamini Kamuulize Kimaro(aliekuwa Mbunge Vunjo kwa ticket ya CCM), au waulize wale wazungu wa kule doli.

Kama kweli uko Arumeru embu nenda Akheri pale kanisani karibu kabisa na kwa Marehem Sumarri, uulize wale wazungu walozikwa pale ilikuaje? Na ni kwa order zipi?

Uliza habari za kina Askofu Kweka.

Mangi unakosea sana unapowaita Vizee, wape heshima yao. Tena angalia kauli yako isionekane kama msimamo wa chama chetu kipendwa. Au umetumwa na CCM nini?

Hiyo Usa-River ulosikia hizi habari ni usa-river ipi?
 
Na inakuaje Washili haohao wakubali viongozi wengine wa Chadema watawakubali waende kumkampenia mshiriki wa Chadema lakini si Lema hapa ndipo napopata shida kujua ni nini kinawasumbua kuhusiana na muheshimiwa Lema.

Hivi wanaposema hawakubali lema aende kupiga kampeni uko, nakumbuka na tendwa alikubaliana na hii kitu inamaanisha hawa wazee wana nguvu gani za kisheria
 
Mkuu jana ulilala Shivaz au Picnic? Tumia lugha nzuri asee isije ikakurudi. Washili ni real deal, kama hauamini Kamuulize Kimaro(aliekuwa Mbunge Vunjo kwa ticket ya CCM), au waulize wale wazungu wa kule doli.

Kama kweli uko Arumeru embu nenda Akheri pale kanisani karibu kabisa na kwa Marehem Sumarri, uulize wale wazungu walozikwa pale ilikuaje? Na ni kwa order zipi?

Uliza habari za kina Askofu Kweka.

Mangi unakosea sana unapowaita Vizee, wape heshima yao. Tena angalia kauli yako isionekane kama msimamo wa chama chetu kipendwa. Au umetumwa na CCM nini?

Hiyo Usa-River ulosikia hizi habari ni usa-river ipi?

Nachofahamu kuhusiana na hapo kwenye RED kuhusiana na hao wazungu mliwaua halafu mkawazika halafu bado hamkurizika kama wamekufa mkawafukua halafu mkawafanyia Tohara! Hizi ndizo mila za Kishili sio?
 
Crashwise,uliyoyasema ni kweli.Kimsingi Ndallo amekurupuka!

BUNDLE
SUBSCRIPTION
FEE
VALIDITY
Daily Bundle (20MB)
SMS ' datasiku ' to 15444
500/=​
1 day​
1 Day bundle (300MB)
SMS ' dataplus ' to 15444
3,000/=​
1 day​
 
Nachofahamu kuhusiana na hapo kwenye RED kuhusiana na hao wazungu mliwaua halafu mkawazika halafu bado hamkurizika kama wamekufa mkawafukua halafu mkawafanyia Tohara! Hizi ndizo mila za Kishili sio?
Samahani blaza....... hivi wewe ni mchga au?
Nataka kujua tu, hizi dharau zilikuwepo tangu enzi za mababu zetu. Sisi vijana hatujali uchaga na umeru kwa hiyo usilete hizo hapa!
Kuna vijana wawili wanaogombea ubunge.... wameru watamchagua wanaemuona anawafaa, nothing else.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom