Washabiki wa Man U....Eti ni Kweli???

Sasa ManU wanamakosa gani, yaani hadi referees can't help themselves. Its only natural, huwezi jizuia mapenzi. Get off our back!
 
Japo ni kwnye TV jana nilitamani kumuua referee Mark Clattenburg,

Na hii si mara yake ya kwanza kwapendelea hao 'mashetani wekundu'
 
Sidhani kama ujumbe wako una ukweli wowote, kama ndivyo basi goli zingekuwa 4-2, maana Luiz aliponawa mpira uliopigwa na Valencia ndani ya mstatili wa Chelsea refa angeibeba MAN U.
Chelsea ni timu nzuri lakini Man U ni nzuri zaidi, soka la uhakika goli za kugongeana sio za mipira ya foul.
 
281473_433049146755338_928689519_n.jpg
 
Umegusa panapoguswa haya majitu yanabebwa sana na refa.Ningekuwa na uwezo ningeiua hili li timu lina haribu mpira sana
 
Mkuu naona kwenye web refa wa kesho tena yule mwanajeshi

webbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbb

chezea man u sijui hii ligi inaelekewa wapi
 
Ndo maana soka la England litakua likiishia ''knock out stages' au robofainali.
Haina tofauti na mambo yanayofanyika hapa kwetu U simba na yanga. In our own dreams ndo tutakua tukishinda major tournaments as a nationala team. Vilabu pia vina-infuence national team,,,,sigh
Kama unafikiri linauliwa na MAN U kwanini lisiinuliwe na CHELSEA, ARSENAL na MAN CITY?
 
Umegusa panapoguswa haya majitu yanabebwa sana na refa.Ningekuwa na uwezo ningeiua hili li timu lina haribu mpira sana
Mtu aliyejaa uchungu na wivu kwa mwenzake anapata nafuu aidha kwa kulia au kuongea lile lililomo moyoni, unahaki ya kupiga kelele.
 
Arsenal vs Reading was 3-4 with 4 minutes of added time.
The ref should've blown the whistle but he kept going and Arsenal found a goal to draw it in the 96th minute.

And then they say, we buy the refs, FA - Fergie Association and Fergie Time. If United did the same thing, everyone would be like "Oh, United cheat", "United bought the ref", and "United won cuz of Fergie Time". Hate these people. hypocrites!
 
Ndo maana soka la England litakua likiishia ''knock out stages' au robofainali.
Haina tofauti na mambo yanayofanyika hapa kwetu U simba na yanga. In our own dreams ndo tutakua tukishinda major tournaments as a nationala team. Vilabu pia vina-infuence national team,,,,sigh

mkuu usisahau kuwa timu kutoka england ndizo zinachukuwa makombe ya uefa mara nyingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom