Washa Na Kuzima taa au mshumaa kwa nguvu ya fikra

Rakim naomba nijue jina la mungu unayemwamini anaiwa nani,mitume wake au manabii wa mwanzo wanaitwa kina nani?
Ni kweli kuna nguvu ya kiungu ndani yetu lakini pia si kila nguvu ni ya Mungu zingine niz aibilisi.
Ninajikinga Kwa Mwenyezi Mungu Kutokana Na Shetani Wa Kijini, Na Mashetani Wa Kibinaadamu Na Kijini,

Mwenyezi Mungu Wangu Ni Mmoja,

Yeye Tu Ndiye Mwenyezi Mungu,

Hakuzaa Wala Hakuzaliwa,

Na Wala Hakuna Anaye Fanana Nae Kwa Lolote,

Hivyo Tu Nadhani Hao Wengeni Umejiongeza... Nakupa Elimu Kidogo Ili Uelewe Sana...

Rakims
 
Mm nimejaribu mara nyingi lakini nimeshindwa
Vuta Pumzi Ndefu Ndani Na Nje Ziwe Jumla Ishirini Halafu upumue kawaida Halafu Uvute Uwezo Uliopo Ndani Yako Kwa Imani Yako Kisha Uanze Tena Kutaja Spells...
walioweza wanawezaje na wewe unashindwa vipi? keep calm do with Concentration Bila Wazo Lolote Kuingilia Fanya Kama Vile Ulishawahi Kufanya Kabla...


Rakims
 
Vuta Pumzi Ndefu Ndani Na Nje Ziwe Jumla Ishirini Halafu upumue kawaida Halafu Uvute Uwezo Uliopo Ndani Yako Kwa Imani Yako Kisha Uanze Tena Kutaja Spells...
walioweza wanawezaje na wewe unashindwa vipi? keep calm do with Concentration Bila Wazo Lolote Kuingilia Fanya Kama Vile Ulishawahi Kufanya Kabla...


Rakims
sawa ngoja nijaribu tena,nikiweza nitaleta mrejesho ukiona kimya ujue nimeshindwa tena
 
unaweza ukaongea maneno haya ukajikuta unatazamana uso kwa uso na shetani
 
Weka video ikionesha wewe unafanya hivyo. Sayans inataka udhihilisho..
Ama sivyo huu ni
1.ushirikina
2.fix tu
 
Je, Unataka Kupima Nguvu Zako Za Ziada? Mind power? Fanya hivi:
Mahitaji:

1: Sauti Iliosawia Ya Kwako
2: Taa au Mshumaa

Fuata Yafuatayo Utaweza Kuwasha Na Kuzima Mshumaa Kwa Nguvu Ya Fikra Yako...

Maneno Utakayo Taja Nimeyaandika Kiherufi Za Kukaza Na Kuvuta Ziweze Kuachia Nguvu Ya Ndani Yako

Jinsi Ya Kufanya:
Tafuta Mahali Palipo kimya Kabisa Ukifanya Kwenye Fujo Itachukua Muda Mrefu Kufungua Power Zako..

Hii anaweza Kufanya Mtu Yoyote Hata Ambae Hajawa Deep Na Nguvu Zake Za Ziada...

Anza Kwa Meditation Kwa Wale Wanaofanya Meditation Japo Kuwa Sio Lazima..

Tizama Taa Au Mshumaa Wako Kwa Sekunde 20... Hakikisha Unahisi Mahusiano Kati Yako Na Taa Yaani Ujiweke Kuwa Unauwezo Wa Kuendesha Mwanga...

Sasa Sema Maneno Haya:

"Ic Beh? F? Es i? Oht? T cierr on/? Cyrf, gesc? Adnes hit n? Hand mec l? Gel? Oht sw? C?? Hit b? On!"

Jinsi Ya Kutaja:
Ic -ick
Es -bes
T? -et
Cierr -cierr
Mec - mek
Oht -lot
Sw? -swar

Maana Yake Ni:

Nahitaji Hii Taa Iwake/Izime Nipe Mwanga/zimika... ZIMA AU WAKA...

Jitahidi Usikosee Ukikosea itabaki Hivyo Hivyo... Na inaweza kuchukua muda

"This Is The Easy Way To Prove That You Have Powers"
By

Rakims

Vip ayo maneno nikitamka kwa kiswahili nitafanikiwa? Au lugha yetu haina nguvu?
 
Back
Top Bottom