Waseminari na mapenzi.

mashini

Member
May 4, 2012
72
10
duuuuuuuuuuuuuuuuu, hivi ni kwanini wavulana na wasichana walio soma seminari huwa wanacharukia mapenzi baada ya kujichanganya na wanajamii, mfano, wanapo jiunga vyuo vikuu huwa vicheche sana. Nini tatizo?
 
ni mtazamo wako tu,hakuna mseminari wala msamaria wote mcharuko except wanaojiheshimu tu.
 
Kwanza hakuna Seminary za wasichana!ni Miss-conception ya watu tu!!Seminary ni shule za kuandaa vijana wanaotarajia kuwa mapadre.....ISLAMIC SEMINARY(?)!!!
 
Si kweli.... Mi ni mseminary wa maua but hiyo tabia haipo... Kuwa mcharuko ni tabia ya mtu bt cio waseminary wote....na ambao hawakusoma seminary afu ni micharuko cjui unawaongeleaje?
 
huu utafiti umefanya lini? unaweza kutupa sample space yako na matokeo uliyopata mwishoni kuprove unachosema? nakubali kuwa wapo wanaofanya hivo.... ila si katika kiwango amabacho wewe unakisema!! maana kumbuka hao waseminari wakirudi likizo wanakula bata vile vile... si kwamba wanaishi seminarini maisha yao yote hata washindwe kufanya ya dunia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom