Wasemavyo Wazanzibari: Kuutetea muungano ni ukafir

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,696
10,130
Utake usi take huo ndio ukweli
Niirejee makala yangu hii kwa kumshuru
muumba wetu kwa kutujalia kuwepo katika
hali hii tulio nayo hii leo,pamoja na sala na
salaam kwa kipenzi chetu muombezi wetu
mtume wetu Muhammad [swa]
“ Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu,
na kuweni pamoja na wakweli”TQ
Enyi ndugu zangu hivi mpaka hii leo bado
tuu hatuelewi ya kwamba dhamira ya
muungano wa Tanganyika na Zanzibar
ulikuwa na dhamira mbaya juu ya nchi yetu
tuipendayo ya Zanzibar? na kwanini
tuutetee muungano ambao haukuwa na
malengo mema kwetu? Jamani tuwe
wakweli kama kweli sisi waumini, mimi
naona yeyote Yule anae utete muungano
huu ni adui na kafir hasa kwani huwezi
ukawa unaijuwa kweli nawe kwa maksudi
unapotosha kwa sababu ya maslahi yako,
kufanya hivyo ni sawa na kumshirikisha
Allah [Subhanah wattaallah] kama alivyo
sema
“Je! Umemwona aliye fanya matamanio yake
kuwa ndiye mungu wake, na Mwenyezi
Mungu akamwacha apotee pamoja na kuwa
ana ujuzi, na akapiga muhuri juu ya masikio
yake, na moyo wake, na akambandika
vitanga machoni mwake? Basi nani
atamwongoa huyo baada ya Mwenyezi
Mungu? Hamkumbuki?”TQ
Sasa jiulize jee wewe huuelewi ukweli na
dhamira ya muungano huu wa Tanganyika
na Zanzibar hata husomi nyakati zilivyo pia?
Jee kama kungekuwa na dhamira ya kweli
kwanini tuwe kwenye mitihani kila uchwao
au kukicha hebu tuamke ndugu zanguni
“Na jengo lao hilo walilo lijenga litakuwa
sababu ya kutia wasiwasi nyoyoni mwao
mpaka nyoyo zao hizo zikatike vipande
vipande. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye
kujua Mwenye hikima.”TQ
“Je! Hawaoni ya kwamba wanatiwa
mtihanini kila mwaka mara moja au mara
mbili? Kisha hawatubu, wala
hawakumbuki.”TQ
“Je! Mwenye kuweka msingi wa jengo lake
juu ya kumcha Mwenyezi Mungu na radhi
zake ni bora au mwenye kuweka msingi wa
jengo lake juu ya ukingo wa shimo linalo
burugunyika, na likaburugunyika naye
katika Moto wa Jahannamu? Na Mwenyezi
Mungu hawaongoi watu madhaalimu.”TQ
Hii yote ni uthibitisho tosha ya muungano
huu haukujengwa kwenye msingi unao
kubalika na ndio sababu kila uchwao
unamong’onyoka, na unawafalia wale tuu
wenye kufuata matamanio ya nafsi zao ,
naamini kabisa kama kweli muungano huu
ungelijengwa kwenye msingi ya kumcha
mwenye enzi Mungu { UKWELI} haya yanayo
tokezea yasingelikuwapo sote tungeli utetea
kwa umoja wetu sote.
“ WATAKUTOLEENI UDHURU mtapo warudia.
Sema: Msitoe udhuru; hatukuaminini.
Mwenyezi Mungu amekwisha tueleza
khabari zenu. Na Mwenyezi Mungu na
Mtume wake wataviona vitendo vyenu. Kisha
mtarudishwa kwa Mjuzi wa ya siri na ya
dhaahiri; naye atakuambieni mliyo kuwa
mkiyatenda.”TQ
Jee ndugu yangu mzanzibari hatuoni kila
kukicha hawachi udhuru” mara waseme hili
mara lile yote haya ni mazingatio kwetu
jamani tusiwaamini hawa, hawana nia wala
njia ilio njema juu yetu.
“Na jikingeni na Fitna ambayo haitowasibu
walio dhulumu peke yao kati yenu. Na jueni
kuwa Mwenyezi Mungu ni Mkali wa
kuadhibu.”TQ
Jamani tuwatenge hawa kwani lengo lao ni
kuendelea kutudhulumu tuu miongoni
mwetu, tunawaonea haya kitu gani hawa ni
adui zetu jamani sio ndugu zetu, asilani
Abadan.
“ Wamevifanya viapo vyao ni kinga, na wao
wakajizuia kuifuata Njia ya Mwenyezi
Mungu. Hakika ni mabaya kabisa waliyo
kuwa wakiyafanya.”TQ
“ Hayo ni kwa sababu ya kuwa waliamini,
kisha wakakufuru; kwa hivyo umepigwa
muhuri juu ya nyoyo zao. Kwa hivyo
hawafahamu lolote.”TQ
{*Jee hebu tuwatizame wote wale wanao
utetea muungano wa Tanganyika na
Zanzibar hawana sifa hizo, jee miongoni
mwao si ndio hao wanaokula viapo vya
kuulinda muungano, na kufanya ndio kinga
yao ya kuendeleza dhulma ndani ya nafsi
zao?
Jee hawa maadui zetu wote hawa amini
udhalimu wa muungano huu? Wanaamini
ila kwa sababu ya kukufuru kwao,
wameshapingwa muhuri juu ya nyoyo zao
na sasa hawafahamu chote ila matamanio
ya nafsi zao tuu.
“ Na unapo waona, miili yao inakupendeza,
na wakisema, unasikiliza usemi wao. Lakini
wao ni kama magogo yaliyo egemezwa.
Wao hudhania kila ukelele unao pigwa ni
kwa ajili yao. Hao ni maadui; tahadhari nao.
Mwenyezi Mungu awaangamizilie mbali! Vipi
wanapotoka na haki?” TQ
Kwakweli nikiwazungumza watu hawa
nitahitaji miaka na sito wamaliza ilaa natoa
inzari juu ya watu hawa tujiepushe nao.
Naomba kuwasilisha.
ASALAAM ALEYKOUM
Login
Username:
Password:
Remember me
Login »
Register
Lost your password?
Yahya
Ali Madai Salum
MZALENDO.NET FANS on
Facebook
184 people like MZALENDO.NET
FANS.
Like
Radio Mzalendo
Bonyeza Play kusikiliza!
>>TASWIRA
Maarufu Mpya Maoni Tagi
The journey to state
house: The life of Seif
Shariff Hamad
12/06/2011, 57
Comments
Dr.Bilal afanya
mazungumzo na radio
ya UN
10/06/2011, 43
Comments
IKO WAPI CUF YA
1992-93?
04/06/2011, 34
Comments
Kwa hili sitakuelewa Dk
Shein
01/06/2011, 33
Comments
Mbunge akichokonoa
tena Muungano
25/06/2011, 31
Comments
29/06/2011, 2
Comments
Kuna tafauti gani Mh
Abuu Bakari kati ya
Tanganyika ya zamani
na Tanzania ya sasa?
29/06/2011, 2
Comments
Matumizi mabaya ya
Serekali huku raia wa
kawaida wakihaha na
maisha magumu
29/06/2011, 2
Comments
Maalim Seif awataka
wasomi warudi
Zanzibar
29/06/2011, 24
Comments
Kuutetea ni muungano
ni ukafir
 
..haya ni masuala ya kisiasa.

..waache kutumbukiza Udini humo.

..Tanganyika wapo Waislamu vilevile.
 
Tanganyika upo uislamu lakini pia christian wapo vile vile siwezi kujua kwa asilimia ngapi ngapi,na zaidi huku tanganyika ni kwamba uislamu hauna nguvu sana kutokana kuna makabila tofauti.

Sasa kwa upande wa zanzibar usilamu naweza kusema asilimia 99.9 ni waislamu,kablaya ya mapinduzi kufanyika mwaka 1964 zanzibar ilikuwa ni nchi ambayo inaendeshwa kidemocracy pia dini ilisimama kisawa sawa kwa wazanzbari.

Na ndio waengereza kupanga njama zao kumtumilia nyerere mkole wao ili aje zanzibar ashirikiane na wale wazanzbari walikuwa wandaki ndaki yaani wa kuja tu,ili kufanya mapinduzi,na ndipo walipofanya mapinduzi hayo,na ukiangalia rais wa kwanza baaada ya mapinduzi alikuwa ni karume,ambaye hakuwa mzaliwa wa zanzibar isipokuwa alikuja zanzibar akiwa mtoto wa kupebwa mgongozi tu,na kwao hasa ni malawi,na nia ya kupewa uraisi ni kuwa waliahidiana kushirikiana na nyerere,pindipo watafanya mapinduzi watampa urais watoe ushirikiano huo.

Pia baada ya hapo nyerere alitumia technic ya kuunganisha zanzbar na tanganyika,na kuorezesha mambo yote ya uchumi kama uti wa mgongo wa nchi,na ndipo walipo imaliza zanzibar kiuchumi.

Na leongo la mapinduzi kuisambaratisha zanzibar uislamu,na wakati huo zanzbar ilikuwa nchi yenye uchumi mzuri ukilinganisha na tanganyika,iliiimarika,ilikuwa na wasomi,na vitega uchumi kweli kweli,waliogopa zanzbar ikawa nchi tajiri na usilamu kuwa na powerfull pia waliogopa kuwa zanzibar kuwa ndio kitovu kikuu cha usilamu na kuzifanya nchi nyengine kuimarika kwa usilamu.
 
Thibitisha kwa takwimu!! Vinginevyo hizo ni bla bla bla bla......
 
kwa nn watanganyika mwangangania hivyo muungano? mnafaidika na nn hasa? kama si kuuthibiti uislaam ni nn? zanzibar huru is coming tommorow.
 
..haya ni masuala ya kisiasa.

..waache kutumbukiza Udini humo.

..Tanganyika wapo Waislamu vilevile.

huko kuna watu wananjaa wanadhani tatizo ni muungano
watakuja kujua ukivunjika yakwamba wapemba wote wa kariakoo na popote bara watatakiwa kurudi makwao

hapo ndipo itakuwa ngumu kufunga mahesabu.
misikiti itakuwa haitoshi hiyo
wao waendelee tu kutangaza ukafir
 
Back
Top Bottom