Wasemavyo wahenga : Ni bora villa squad achukue ubingwa na si azam fc....

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
...Nilikuwa na wazee wa Simba uwanja wa Jamuhuri hapa Dodoma siku za karibuni,mzee mmoja wa Simba akasema ni bora ubingwa uende kwa Yanga au Villa Squad kuliko Azama FC.Lakini pia wa Yanga nao wanasema ni bora Simba au hata Villa Squad wachukue ubingwa kuliko Azam FC...Kwa hali navyoiona Azam hawezi chukua ubingwa kwasababu ya zengwe la wazee wa SIMBA na YANGA pale TFF..Azam FC wabakie na CHAMANZI yao ubingwa mtausikia kwenye bomba....
 
Mkuu hao wazee watabana wataachia AZAM wakiendeleza utulivu na subira nakuahidi ndani ya miaka miwili wana beba ndoo za Voda.
 
...Nilikuwa na wazee wa Simba uwanja wa Jamuhuri hapa Dodoma siku za karibuni,mzee mmoja wa Simba akasema ni bora ubingwa uende kwa Yanga au Villa Squad kuliko Azama FC.Lakini pia wa Yanga nao wanasema ni bora Simba au hata Villa Squad wachukue ubingwa kuliko Azam FC...Kwa hali navyoiona Azam hawezi chukua ubingwa kwasababu ya zengwe la wazee wa SIMBA na YANGA pale TFF..Azam FC wabakie na CHAMANZI yao ubingwa mtausikia kwenye bomba....

I don't see logic in your argument/report or whatever you may call.
Who the hell are wazee wa Simba na Yanga?
Kaa ujiulize sababu za timu ndogo kushindwa ku-prosper hata baada ya kuonesha mafanikio makubwa.
Wachezaji wote Tukuyu Stars walihamia Simba na Yanga baada ya kuchukua ubingwa back in time, Azam wamewaonesha Yanga mfano,
walimtaka tena Mrisho Ngassa, Azama wakasema sawa, kama mnazo 150M hakuna tatizo.
Twende taratibu,
Moro United nayo iling'aa kipindi fulani, lakini viongozi wake walikuwa pro-Simba, timu ikafa kibudu. Timu nyingine huwa zinahongwa ili zijitoe kwenye mbio za ubingwa, that will never happen to Azam bro.
Sababu nyingine ni timu kutegemea wafadhili na kukosa vyanzo thabiti vya mapato, njaa za wachezaji ambayo hupelekea kuuza mechi, Azam ilishatoka huko zamani sana.
Mwisho, zengwe likizidi sana, mahakama za soka zipo,
tumeona jinsi Yanga ilivyoshindwa kwenye saga la John Njoroge, haki haina cha wazee wa wapi sijui katika FIFA's point of view...
I beg to differ with you!
 
Siku hizi kila mtu ni mchawi kwa mwenzake, yaani anajua kulinda mbinu zake. Azam siifahamu vizuri zaidi ya kuiona ikicheza uwanjani, ila nafikiri wamejiandaa vya kutosha kwa changamoto za hii ligi yetu ambayo TFF haiko tayari kuona viziwanda wake wanakosa moja ya nafasi za uwakilishi. Kama Azam wamejiandaa kucheza kiushindani hata mechi ambazo tunaziona ndogo hakuna mzee anayeweza kuzuia wasitwae ubingwa, kama si msimu huu basi hata misimu ijayo, haya mambo ya imani bila matendo ndo yametufikisha hapa tulipo, yatupasa kuwa tayari kupokea mabadiliko.

Moro United ya Siang'a iliongoza ligi kwa tofauti ya points 12, lakini siku ya mwisho haikuwa bingwa kwa sababu ya kuwa na mamluki kwenye kikosi cha kwanza. Nadhani wazee hao wanawajua mamluki wao na ndo maana wakasema hivyo, haisaidii warudi wasaidie timu zetu ziwe za kiushindani zaidi si kuishi kwa imani haba katika karne hii ya 21.
 
ndetichia like this
 
na bado kibakuli cha mchango watu wa simba wanakuja azam sasa hivi tunahitaji kampuni ya ligi kuu na ishatiki msimu ujao inaanza kufanyakazi na hapo sasa tff wataishia kutatua kadi ingawa wamebana kwenye viingilio eti wao ndio wanapanga..
 
...Nilikuwa na wazee wa Simba uwanja wa Jamuhuri hapa Dodoma siku za karibuni,mzee mmoja wa Simba akasema ni bora ubingwa uende kwa Yanga au Villa Squad kuliko Azama FC.Lakini pia wa Yanga nao wanasema ni bora Simba au hata Villa Squad wachukue ubingwa kuliko Azam FC...Kwa hali navyoiona Azam hawezi chukua ubingwa kwasababu ya zengwe la wazee wa SIMBA na YANGA pale TFF..Azam FC wabakie na CHAMANZI yao ubingwa mtausikia kwenye bomba....

pole mkuu only83 lakini ndio tunakuwa mabingwa na tenga wenu..
 
kama hawa Simba, yaani uwanja tu wa mazoezi hawana.
sasa sijjui hata hizo fitna wanazowawekea wenzao zinawasaidia nini...
 
azam kuchukua ubingwa ni ndoto ya mchana.... Soka la bongo ni simba na yanga, mnaikumbuka moro united ya TIOT ilivyofanyiwa wakati ule????
 
Back
Top Bottom