Wasanii wenye majina makubwa lakini wanalazimisha mziki hali ya kuwa mziki ushawakataa

hata ww kuweka mabandiko unalazimisha tu, hujawahi kuwa na bandiko la maana.

zaid kusifia ujinga
 
Wafuatao ni wanamuziki wanaolazimisha fani hali ya kuwa uwezo wao mdogo/umepungua kwa kiasi kikubwa


10:Ally Kiba
Huyu kijana bado ni mwanamuziki mzuri tu na sauti pia si haba tatizo ni kuwa ni mtu mwenye majivuno,vijembe asiye na muelekeo na mtu mwenye kisirani,lawama naasiye penda maendeleo ya mwingine sana sana hapendi kumuona Daimond anavyofanikiwa ,ushahidi wa haya maelezo ,muangalie interviews nyingi anazofanya utagundua jamaa ana kijiba cha roho na mkaanga sumu hodari,usipate shida kumjua macho yake tu yanadhihirisha hayo ,inaonekana kungekuwa kuna sehemu wanauza uchawi angenunua kitambo sana



Ushauri: kijana nafasi ya kubadillika bado ipo badilika haraka sana kabla mambo hayajakuchachia
La sivyo kaimbe taarabu ndio mziki utakao uweza maana ndio mziki uliojaa majungu,wivu, visirani ,uchawi na kuombeana mabaya kila kukicha si ajabu kuona wasanii wa taarabu kutoka bendi mbili tofauti wakikaushiana pindi wakutanapo pamoja kwenye ishu yeyote ile hata kama msibani wataliana bati na si ajabu vijembe vikaanza hapo hapo msibaniView attachment 419785

Hapa Kiba kaingiaje???? hebu cheki tittle yako ___
Wasanii wenye majina makubwa lakini wanalazimisha mziki hali ya kuwa mziki ushawakataa

Mtoe KIBA!
Mimi nijuavyo huwezi kukubalika na watu wote, huwezi kupendwa na watu wote. Hii ni Chuki kabisa ya waziwazi. Alikiba katoka kufanya show kubwa Africa MTVMAMA na Bado ana MTVEMA yupo nominated halafu unamweka hapa

___NIMEAMINI MANENO YA MKUU KWAMBA KUNA WATU HATA UKIOGELEA WATAKWAMBIA UNAWATIMULIA VUMBI___________
 
Wafuatao ni wanamuziki wanaolazimisha fani hali ya kuwa uwezo wao mdogo/umepungua kwa kiasi kikubwa

1: Juma Kasimu kiroboto a.k.a Nature
Huyu jamaa nyimbo zake anazozitoa siku hizi zinaboa sana kuliko kufurahisha , Nature bhana alikuwa kipindi hicho cha Sonia au mtoto Idd ila siku hizi anazingua tu analazimisha kitu ambacho hakiwezi

Hata ukae usikilize nyimbo zake za zamani na za sasa hivi ni ukweli usiopingika kwamba nyimbo zake za zamani zilikuwa na amsha amsha sana tofauti na za siku hizi

Ushauri: Napenda kumshauri Nature aendelee tu na kilimo kama cha vitunguu ,nyanya ,mpunga nk ndio kitu anachokiweza mziki aachane nao kabisa maana kila wimbo anaoutoa ni mbaya kuliko uliopita=full]419787[/ATTACH]


2: Kr Mullah

Binafsi huyu jamaa huwa sielewi watu wanampendea nini kwanza mchafu ,hajielewi yaan yupo yupo tu kwa kifupi na hata leo ukiniuliza wimbo alioimba Kr si ujui hata mmoja sina uhakika kama ana wimbo wowote huyu jamaa zaidi ya kuimba vipande vichache alivyoimba alipokuwa TMK wanaume family

Nashangaa sana mvutano baina ya TID mnyama na Nature kuhusu huyu jamaa


Ushauri: namshauri kr aende sober house kwanza arudi katika hali ya kawaida kisha aachane na mziki akawe konda wa daladala atapendeza sana tena na hivi unadhifu kwake ni zero atafaa sana maana asilimia kubwa ya makonda ni watu wasiojipenda (wachafu wachafu)



View attachment 419710
View attachment 419799View attachment 419787View attachment 419787



3: Snura Mushi
Huyu dada naye mziki haujui kabisa zaidi ya uswahili swahili tu na kuchezesha chezesha makalio kila kukicha
Mashabiki wake wengi wanampendea anavyomwaga radhi hovyo kwenye show zake na kwenye video zake lakini si uwezo wake wa uimbaji


Ushahidi wa huu upo kwenye video ya chura, chura iliyofungiwa ilimpa kiki sana na ilipendwa sana ila tazama chura ya sasa hivi ambayo imefuata maadili ,watu wengi hawaikubali wala nini na ndio maana huyu dada kila kukicha anagombana na Basata kwa kosa la kuvunja maadili kwa kuwa anajua fika asipovunja maadili na kuyaanika maungo ya kike show zake zitamdodea ndio maana anafanya juu chini kutafuta watu wa kumwaga radhi kwenye show zake



Ushauri: namshauri aache kuimba mziki ajiunge na hawa wanaocheza na kanga moja jukwaani au ajiunge na hawa wanaopiga vigoma asilia au watu wa baikoko ndio kitu anView attachment 419749achokiwezaView attachment 419789




4:Lina Sanga
Huyu naye tangu atoe wimbo wa olethemba hamna cha maana alichokibakisha kwenye mziki bora aachane nao kabisa aangalie kingine cha kufanya.Inaonesha huyu mwanadada kuna mtu alisimama nyuma yake kumsukuma kwenye mambo yake ya mziki sasa inaonekana jamaa kashaonja tunda akaona amtose mazima na kusababisha binti ayumbe sana

Ushauri:pamoja na kuyumba sana kimziki huyu binti kipaji bado anacho sema kinaachotakiwa inabidi abadili aina ya mziki anaoimba ,inabidi akaimba nyimbo zinazomtukuza Mungu atapendeza sana ,huyu binti anajua sana kuimba nyimbo za kuleta faraja mfano mzuri wimbo wake wa malkia wa nguvu
View attachment 419733




5: Enock Bella
Huyu dogo naye kuimba hajui ila anafichwa na uwepo wa kwenye kundi

Sidhani kama anaweza kusimama peke yake kama msanii wa kujitegemea pasi na kumshirikisha yeyote kwenye wimbo wake



Ushauri: namshauri kijana aendeleze kipaji chake cha ku dance atafika mbali kama mwenzake Mose IyoboView attachment 419737



6: Aika
Huyu demu kwa kiasi kikubwa anamtegemea sana Nahreel ila yeye binafsi kutoa wimbo wa peke yake na ku hit si rahisi ,ukitaka kuamini hivyo msikilize kwenye interview mbalimbali akiambiwa aimbe uone vichekesho

Ushauri: namshauri huyu msichana atafute pesa za haraka haraka aboreshe gym fitness center yake na vibiashara vyake vidogo vidogo maana atakapopigwa chini tu na Nahreel huo ndio utakuwa mwisho wake wa mziki ,sasa ni bora aboreshe zaidi huku na kuwekeza nguvu ya kutosha kuliko kujichosha na mziki maana kuimba hajui


View attachment 419743


7:Temba

Huyu jamaa naye mziki umemkalia kushoto sana siku hizi ingawaje analazimisha tu ,tofauti na zamani enzi za nampenda yeye, side mnyamwezi, mkono mmoja ,nyimbo nyingi anazotoa siku hizi anakuwa anaongea ongea tu mwanzo mwisho badala ya kuimba



Ushauri: huyu jamaa naona inabidi apewe msasa wa kutosha na Mrisho Mpoto awe naye ana ghani mashairi maana huko ni kuongea ongea tu mwanzo mwisho kama anavyofanya mpoto au kama vipi arudi kwenye fani yake ya kucheza kikapu atapendeza sana na urefu wake. View attachment 419749


10:Ally Kiba
Huyu kijana bado ni mwanamuziki mzuri tu na sauti pia si haba tatizo ni kuwa ni mtu mwenye majivuno,vijembe asiye na muelekeo na mtu mwenye kisirani,lawama naasiye penda maendeleo ya mwingine sana sana hapendi kumuona Daimond anavyofanikiwa ,ushahidi wa haya maelezo ,muangalie interviews nyingi anazofanya utagundua jamaa ana kijiba cha roho na mkaanga sumu hodari,usipate shida kumjua macho yake tu yanadhihirisha hayo ,inaonekana kungekuwa kuna sehemu wanauza uchawi angenunua kitambo sana



Ushauri: kijana nafasi ya kubadillika bado ipo badilika haraka sana kabla mambo hayajakuchachia
La sivyo kaimbe taarabu ndio mziki utakao uweza maana ndio mziki uliojaa majungu,wivu, visirani ,uchawi na kuombeana mabaya kila kukicha si ajabu kuona wasanii wa taarabu kutoka bendi mbili tofauti wakikaushiana pindi wakutanapo pamoja kwenye ishu yeyote ile hata kama msibani wataliana bati na si ajabu vijembe vikaanza hapo hapo msibaniView attachment 419785




Tatizo la wengine wanalazimisha........
Mfano huyu analazimisha....sasa anaimba nyimbo zisizo na maadili ya hata mwanae mwenyewe kuziangalia na kuzisikiliza ni hovyo....
Tatizo la wasanii wetu wa kike wakishafeli ktk muziki wanageukia uchangu..kama huyu anapoelekea siko
1476723204955-jpg.419789
 



huku kujichubua kwa wadada sikuhizi dahh...weusi wachache sana sasa...
huyu kajichubua angalia vidole vimebuma....
Ndauka nae siku hizi ashakuwa mweupe..
Sijui wanaume ndio wamewaambia wanataka weupe?
Mwingine anajichubua utafikiri mweupe ukimuoa unashangaa mtoto anatoka mweusi.......hahahahaha kumbe kidume kaingizwa chaka...

1476720070702-jpg.419743
 
We we Jamaa hujui unachokiandka napia nimegundua hujui mziki,ali kiba,aika ndio imenifanya nijue kuwa hujui mziki
 
Na mimi niongeze wa kwangu
1)Mr blue byser ,ukisikiliza nyimbo zake za before na sasa utaona tofauti kubwa kwa wale wanaojua music
2)Berry black
3)Abby skillz
4)Hakeem 5
5)Gk na wengineo
Hawa walikuwa my best artists lakini sasa hivi wananisikitisha sana
 
Kaka kwa AIKA hapo umekosea ukiondoa lady jaydee na wadada wengine kama wawili aika anafuata, bse anajua mziki, kuimba. Kuhusu Linah unamuonea muziki sio muda wote unakubali.
 
Kuna watu mpo makini kufuatilia makosa ya wenzenu Haya tutajie na wewe ulichokfanya au kaimbe wewe
 
Katoe single yako moja na wewe kuimba si lele mama kijana,hata siku moja haiwezekani wote muwe sawa lazima mmoja awe juu ili wa kung'ara awepo kama unataka waache mziki unazani soko litakuwaje kama unajua maana ya Competitive market usingeweka ujinga wako huo mtu wangu........THINK BEFORE TO POST ZEN JIONGEZE MENGNE ILI UELEWE ZAIDI...!!
 
Back
Top Bottom