wasanii wanatuhadaa na picha zenye alama ya freemason

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
kuna mtindo umeanzishwa na wasanii wa kibongo kupiga picha na mavazi yenye alama za freemason na wengine kuzionesha ishara hizo hadharani ili tuamini mali walizonazo ni za chama hicho.mfano wa wasanii hawa ni pamoja na kanumba,wolper,wema sepetu,diamond na wengine wengi.
Ninachowaomba watanzania wenzangu tuwachunguze hawa watu yaweza wakawa ni wauza wadawa (drag supplier) wakubwa na wanatumia safari zao za ulaya kwenda kubeba mzigo kwa kutuhadaa na show.
Naomba tusijaji utajiri wa watu kwa kivuri cha ufreemason kumbe kuna behind the scene.We have to thing big concerning this issue.
wEeKeNd NJEMA
 
asante wikend njema na wewe
 
umewaza vyema, lakini umefanya hata kautafiti binafsi kadogo tu!!
ingawa taarifa yako si ya kubeza, funguka zaidi basi mkuu.
mi nakumbuka habari ya 20% kukamatwa na kg 20 za bangi kule mtwara, sijui kesi iliishia wapi, na jamaa ndo naona nitolee kwenye game.
 
kuna mtindo umeanzishwa na wasanii wa kibongo kupiga picha na mavazi yenye alama za freemason na wengine kuzionesha ishara hizo hadharani ili tuamini mali walizonazo ni za chama hicho.mfano wa wasanii hawa ni pamoja na kanumba,wolper,wema sepetu,diamond na wengine wengi.
Ninachowaomba watanzania wenzangu tuwachunguze hawa watu yaweza wakawa ni wauza wadawa (drag supplier) wakubwa na wanatumia safari zao za ulaya kwenda kubeba mzigo kwa kutuhadaa na show.
Naomba tusijaji utajiri wa watu kwa kivuri cha ufreemason kumbe kuna behind the scene.we have to thing big concerning this issue.
Weekend njema

hivi ni chama au? Kuuliza siyo ujinga wakuu!!
 
mimi naamini hao wauza magazeti ndio wanaopotosha watu,unachokivaa ni freemanson,ukipiga picha kuweka pozi la chadema,unaambiwa ni freemanson,mpaka inaudhi kwa kweli
 
afu kuwajadili hao freemason tunawapa promo.kama wanameza pipi cku za mwizi ni 39 tu
 
Ivi mnadhani freemason huwa ina watu wa hovyo hovyo kama wema au wolper?
 
Huna Mpyaa bado unafatilia izi mambo za UfreeMasons ?? "Drag Supplier" ndo nini ?...Bora ungetutakia Mchana Mwema..ungeeeleweka

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
eti na ka steve nyerere nako kanajidahi kako freemason ha ha ha ha freemason imevamiwa jamani lol
 
Siku ya jumamosi watazichapa ulingoni ikiwa ni mpambano wa utangulizi kabla ya Kaseba na Cheka kuzichapa. Kwa bifu la hawa mabinti wasije kuuana ulingoni.
 
Mkubwa n aamini leo jioni yako si njema. Habari hii imo humu majukwaani tangu jana mkuu.
 
Back
Top Bottom