Elections 2010 Wasanii waliomponda Sugu kwenye majukwaa ya CCM waanza kujipendekeza...

SUGU ameprove kwamba yeye ni mwanaharakati na sioyo mbambaishaji.......hiyo range ya kura hata mpinzani wake hawezi singizia kuhujumiwa well done Sugu
 
Achana na hao mavuvuzela wa sisi m. Sugu nenda mbele wala usiwakumbuke kama waliwahi kuwapo. Hongera kwa kuonyesha njia na kwa ku determine. ulizungumza kimzaha kuwa utawakomesha kwa kwenda mjengo na wakakuona mwehu sasa ndoto zimetimia. Mungu wangu akutunze na kukupigania.
 
Hahahahaha! Mimi namkumbuka Nakaya tu! Lol masikini ya Mungu!

well kumbukumbu zangu zinaniambia umekosea kidogo hili jina.......ni Nakaaya!

Kweli bendera hufuata upepo! Hivi aliendeleza wazo lake la kugombea udiwani?
 
wote ni njaa tu ndio zinawasumbua. Mi hao wailiokimbilia hela huko hata muziki wao sinunui ............ :A S angry:
 
Back
Top Bottom