Hayo ni kawaida hapa Kenya. Hakimu mkuu Wa Kenya ana hereni. Pia mbunge aitwaye Sonko huva mbili kwenye makao ya bunge.
bro umefafanua vyema sana.pia umenifanya nitambue kosa langu la ki-uandishi.kwamba msanii anaweza kujipamba atakavyo ili hadhira waelewe kwa wepesi.inawezekana mada hii ningeuliza juu ya tamaduni au mila.hembu basi niweke sawa kuhusu mila na tamaduni.lengo ni kupata ukweli na umuhimu wa uvaaji hereni.Suala la wasanii wa kiume kuvaa hereni , sidhani kama ni tatizo as long atjs umesema ni msanii, sanaa ni usanii na katika usanii kuna mambo mengi ambayo wasanii wanaweza kuyafanya ikiwemo kuvaa hizo hereni, hereni ni swaga tu.Kusema hivyo sina maana ni lazima hapana na sina maana usipovaa hereni wewe si msanii hapana, ila ni jambo ambalo linaruhusiwa na la kawaida kabisa kwa wasanii. Sizungumzii suala la maadili ama tamaduni hapana hiyo ni mada nyingine na ukiichanganya hapo itakuwa ni kosa.
kaka/dada Kwa kenya ni sawa.maana hata ile sheria ya kuoana watu wenye jinsia moja ilipitishwa.sasa kwa hawa watanzania wao wanavaa ili waonekane wasanii au?kifupi nilihitaji kujua zaidi maana mie pia nime anza kuandaa mikakati mpaka mwezi wa 6.naweza nikatoa filam yangu ya kwanza.sasa kama hereni ni ni wajibu wa msanii basi nami nitoboe.

Wanapenda kujikwatua kama wadada. Nywele wanasuka, usoni wanapaka poda... Ipo siku watasemeshwa, ndipo watakaporuka mita 100.Nauliza tu.utaona msanii kama hajatoga sikio basi kavaa heleni za kubandika.
heleni = hereni