Wasanii wa tz na wimbo wa miaka 50 uhuru si unafiki tu.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
wale wasanii wa bongo flava na nyimbo yao ya Miaka 50 ya Uhuru wote wanafiki.
Taifa linakabiliwa majanga makubwa wao wanaimba pumba tu pale,na vibendela vyao.
Pu....fu..
 
Hivi unadhani wa bongo na makuward hali ya nchi wanaiona lakini wanavyosifia.tatizo ni umasabuli ndo mana roma hakuwepo
 
Back
Top Bottom