fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,065
Wasanii wa TZ wamekuwa mstari wa mbele kudai ni kioo cha JAMII, wanaelimisha, kuburudisha na mengineyo. Swali inakuwaje wasanii hawa hawa wa TZ ambayo jamii inamatatizo kibao na mfumo wa utawala, ambao kwa kweli jamii imechoka kudanganywa na CCM, harafu wasanii/kioo cha jamii kinashiriki kuhamasisha chama cha mafisadi, au chenye kukumbatia mafisadi, chama ambacho kimsingi ndo chanzo cha matatizo ya jamii ya WaTZ kuendelea kubaki Madarakani??
Mfano, jamii imwelewe vipi msanii ambaye anashiriki kampeni za ccm kuvuta/kujaza watu kwenye mikutano ili mafisadi hawa watoe hotuba, msanii ambaye nyimbo zake zinatumika kuendesha kampeni za ccm? JE HAWA JAMII INAPASWA KUSUSA KAZI ZAO KABISA AU inakuwajem msanii ambaye kazi yake inatumika kama silaha kuangamiza waTZ?
Tuwatenge wasanii hawa au tufanyeje?