wasanii wa temeke(TMK) na misosi kwenye nyimbo zao

Ndio uwezo wa kutunga ,ukiangalia wasanii wengi wa hicho kikundi labdas umuondoe mheshimiwa Temba life yao ya utotoni haina tofauti na watoto manunda,si unajua tena watoto wa uswazi msosi kwao ndio kitu wanachokiona kama kipimo cha uwezo
Si mchezo. Mia
 
Umesema ukweli kabisa mkuu. Unaambiwa Ins.Haroun 'Babu' aliendaga kuperform mtwara. Kapiga show kamaliza kashuka kwenye steji, ghafla akapanda tena akaomba mic akasema,"mapapai" yaan ilimradi tu ataje kitu cha kula. Hawaj jamaa wanapenda sana misosi!
 
duuh hahaha
 
heheheee.. kuna ukweli ndani yake aiseee.... leo nimemsikia chege akisema kwamba stage ya fiesta ina kachumbari ya aina zote..
 
Umesema ukweli kabisa mkuu. Unaambiwa Ins.Haroun 'Babu' aliendaga kuperform mtwara. Kapiga show kamaliza kashuka kwenye steji, ghafla akapanda tena akaomba mic akasema,"mapapai" yaan ilimradi tu ataje kitu cha kula. Hawaj jamaa wanapenda sana misosi!

hahahahah du! nimecheka sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom