Wasanii wa kibongo via fiesta 2011

mabina

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
216
26
JAMANI kwa walioshuhudia FIESTA ya mwaka huu pale LEADERS CLUB.

Hivi hawa wasanii wetu wanafkiria huwa tnaenda kushosha miko au kusikiliza na kutazama kazi zao?
Kila anayeingia na background vocle anatuambia mikono juu, wakati kawekwa pale aimbe na atukomvisi tuipende kazi yake.


Mi naamini baadhi ya wasanii wanalewa sana kabla ya kpanda jukwaani na akisha panda anajkta amesahau masahiri na munkari ukiwa umempanda zaidi na kshndwa kfanya vyema. Hebu kmbka kale katoto ka TIPTOP Madee alpanda akmkarbsha yule dogo cha kushangaza kakaja kifua wazi mpaka 2nda man akjakkashsha jukwaani.

Balaa jngine kwa wasanii we2 wa kikie.

Nilikuwa nampenda na alikuwa anaheshmiwa hadi na waknamama watu wazima lakini kwa udhalilishaji aliojfanyia hata mie sikurdhshwa nao. LINAH PLEASE LET U CHANGE IF U R BEATFUL U WILL REMAIN AS YOU ARE.
 
....Balaa jngine kwa wasanii we2 wa kikie.

Nilikuwa nampenda na alikuwa anaheshmiwa hadi na waknamama watu wazima lakini kwa udhalilishaji aliojfanyia hata mie sikurdhshwa nao. LINAH PLEASE LET U CHANGE IF U R BEATFUL U WILL REMAIN AS YOU ARE.
Huyu totoz yuko kwenye harakati za kutafuta mpenzi baada ya kumuacha Amini aliyekuwa anamdunda kila siku,kwahiyo msishangae sana ila kweli toto ana bonge la figa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom