Wasanii wa bongo movie wanajiuza kwa laki sita

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
hii imesemwa na ney wa mitego kwenye take one ya zamaradi kasema kuwa wasanii wa bongo movie wanajiuza kuanzia laki nne mpaka sita
na ndio maana kawaita makahaba wa viwango vya juu
 
Duh wamepanda bei kishenzi..juzi juzi tu hapa Wolper alikuwa laki.
 
Hivi bongo kuna wasanii wa maana wa kike, I mean really proffessional, wote wako design za kichangu, so I am not surprise by this newz
 
Hivi bongo kuna wasanii wa maana wa kike, I mean really proffessional, wote wako design za kichangu, so I am not surprise by this newz

Am so much suprised because hawana thamani hiyo hata kidogo. afadhali ingekuwa alfu 50 hivi nisingeshangaa
 
603566_486701028011790_1059270364_n.jpg
hawa??????????????? mi nashangaa hao wanao waonga hadi magari..
 
Ney naye anatapatapa tu, kwani wakihongwa laki 6 yeye inamhusu nini? yeye badala ya kukomaa na mziki wake ambao hauzi anafuatilia wasanii wa kike wa movie!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom