Wasanii wa bongo fleva mmmmh, huyu ndo bob junior....

DON KILLUMINATI

Senior Member
Jan 2, 2011
193
83
WADAU NAOMBA MSEME WENYEWE HILI POZI LA HUYU DOGO, ANAITWA BOB JUNIOR, A.K.A RAIS WA MASHAROBARO

bob_jr.jpg
 
Jamani hivi kuwa sharobaro unatakiwa uwe na vigezo gani? maana mchizi naona pozi zote za kike cheki jicho utasema kala kungu! wapaka poda kazi mnayo du!!!
 
Nadhani kuna kitu kineendelea kwa huyo dogo. Wanaomfahamu zaidi watujuze ukweli.
 
Tulishawazoea hao wanatumia fedha nyingi kujipendezesha halafu wanasahau kama kuna majukumu muhimu, watafute maprez da wampeleke yeye.
 
mhh watu wanafiki humu,mlimshuhudia akishikishwa ukuta au kwa kuwa handsome na anajipenda,au mlitaka akipiga picha aweke dole!
 
Wewe umeshaskia huyo ni rais wa "MASHAROBARO"!!!! kama unabisha huyu dogo bwabwa utauwa sharobaro tu na wewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom