wasaliti UDSM

Aibu sana, hivi rais wa Daruso anaitwa nani?,Namkubuka Mwita Mwikwabe akiwa rais ushenzi kama huu haukuwepo.Kuna kipindi bod ya mikopo ileleta rongorongo kutoa pesa akaja Mkono kutuliza tifu alichokipata hatasahau maishani mwake
 
njaa mbaya ,,vijana wengi hawana msimamo ,,vijana wamejaa maisha ya ndoto kuliko uhalisia ,vijana hawaaminiki.......
 
Bora hata UDOM walikaza wenzao walivyotimuliwa kuliko UDSM walivyolegea!
Ndhani CAMEROON ameingia UDSM si bure...
 
Back
Top Bottom