Hukumuzuku
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,676
- 5,027
Oh really???????????
junyASS maGAYmbe please!
duh .......hawa jamaa waliishia wapi?
Kumbe walikua wale jamaa wa Kitunda?wakurya walitisha
huoni sura mkuu?walichoka kufuga kukuKumbe walikua wale jamaa wa Kitunda?
ahahaaa sipati picha wangeshuka amstedarmCheki hayo mabegi
Hawa walistahili kabisa kuingizwa kwenye kitabu cha kumbukumbu za Dunia.!nimekumbuka mbali sana,dah!
ujue nimesahau kidogo ilikuwaje? Nakumbuka tu walitaka kusafiri bila Visa wala nauli.Hawa walistahili kabisa kuingizwa kwenye kitabu cha kumbukumbu za Dunia.!
ndo hvo mkuu walitinga british airways pale mapemaaaujue nimesahau kidogo ilikuwaje? Nakumbuka tu walitaka kusafiri bila Visa wala nauli.
Hahahaaaa
Mkuu hakuna ubayakuna ubaya?