Was this an Inteligent move?

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,558
Jana katika Taarifa ya habari TBC1 kwa mlioangalia kuna Bwana mmoja kutoka Kenya alinaswa kwenye mtego wa kutaka kumuuza Albino kwa Tshs 400M.
Kama nilimuelewa vizuri, yule kamanda wa polisi mkoani Mwanza alivyokuwa anaeleza ni kwamba, Walipata habari kuwa huyu bwana huwa anauza viungo vya Binadamu, Ikabidi wampe order ya kuwaletea hivyo viungo ili wamuingize mtegoni.
Huyu jamaa aliamua kuwaletea Binadamu mzima mzima wamchinje wenyewe.
Kwa upande wangu naona hii njia iliyotumika kumuingiza huyu jamaa mtegoni sio sahihi kabisa.
Hivi kama angeamua kumchinja yule mlemavu Ingekuaje?
Yaani kweli mnampa m2 ofa ya 400m awaletee viungo vya albino ndio mjue kama kweli anafanya biashara hiyo?
Hiki si kishawishi tosha kabisa hata kama alikua haifanye inabidi aifanye!!
kidogo hapa naona mawingu!
 
Teh teh teh?

Waha jamaaa walikuwa wanatufanyia filimeeee hapo walikuja na wanajua wanachokifanya hao ni matapeli tuuuuu, yani kweli wewe uje tuu huku kutaftiwa kazi ya ukonda hebu jifunzeni kudadisi mambo hapo msitufanye sisi madunga embe jamani khaaaa tuoneenia japo aibu hata kidogo. hao jamaaa walikuja kupiga deal na wameshtukiwa sasa wamebadirisha mwelekeo wa kusingizia wamekuja muuza mwenzie,

I Cant buy that story at all
 
Teh teh teh?

Waha jamaaa walikuwa wanatufanyia filimeeee hapo walikuja na wanajua wanachokifanya hao ni matapeli tuuuuu, yani kweli wewe uje tuu huku kutaftiwa kazi ya ukonda hebu jifunzeni kudadisi mambo hapo msitufanye sisi madunga embe jamani khaaaa tuoneenia japo aibu hata kidogo. hao jamaaa walikuja kupiga deal na wameshtukiwa sasa wamebadirisha mwelekeo wa kusingizia wamekuja muuza mwenzie,

I Cant buy that story at all

Mkuu hapa hata mimi nilicheka sana. lakini huwezi jua akili ya m2.
 
Yule polisi alishangaza kwa statement yake ile. Hivi wangemchinja huyo albino huko ingekuwaje? Kosa la mauaji ingekuwa la muuzaji au mnunuaji Polisi?
 
Hata mimi nilistuka, nikasema huo mtego ungeweza kutega nyoka kwa kweli, what if mheshimiwa angekuja na rundo la bidhaa kwenye 'kisalfeti' badala ya kiumbe hai, kweli watu wangekuwa na nguvu ya kutoa statement?
 
To be honest mi pia nimeshtushwa na habari hiyo..sijui ni kwa kiwango gani ni ukweli kwani dunia imebadilika na mbinu za usanii ni nyingi kwani hatuoni watu wakimfadhili mtu aende kwenye TV anasema anaumwa inatolewa akaunti na watu wanavuta mshiko na kusepa maisha yanaendelea? nadhani hapo polisi wajicheki na kutueleza kama wangeletewa viungo wangefanyaje? wangemhukumu kwa kosa gani? kuua?au kukutwa na viungo vya binadamu? nadhani intelijensia waliyotumia kujua anauza wangetumia kumkamata kabla ya tukio na sio kungoja kuletewa viungo..
ni kweli jamaa kwa mil 400 angefanya lolote kwani matukio ya karibuni yanaonesha watu wanapora na kuua kwa silaha kali huku wakipora Laki kadhaa yani hata milioni 1 haifiki.. mtu anauwawa kwa laki 2-3 sembuse mil 400,polisi wasifanye mchezo huo tena kwani wanaweza kuchochea mauaji bila wao kujua.
binafsi hii naiona iko FISHY..haiingii akilini
 
Kuna haja ya polisi ku-restructure na ku-retrain watu wake kwa sababu mindset zao ziko karne ya 19 wakati tuko karne ya 21. Ndo hayo sasa!
 
Back
Top Bottom