Was Commander Barlow assassinated?

it is obvious this is an assassination..msisingizie mambo ya kula tunda hapa, tunajua watz hiyo ni national sport tu. kama kweli alikua anawabania majambazi that could be the reason, au wamegeukana na majambazi, no-one knows.
 
kwani hawa kina gachuma na zakaria wanawezaje kudumu katika hali hii inayoelezewa?? Kama yanayosemwa kuhusu hawa watu ni ya kweli basi hata polisi wanayajua vizuri sana, watakuwa wanawalea katika unyama huu. Period!!! No more no less.
 
Gachuma na zakaria ni watu hatari sana sana,wote wamevaa kofia ya ccm kuficha unyama wanaoufanya,gachuma na zakaria mwz mpaka mara wanauwezo wakufanya wapendavyo biashara zooote haramu lazima zipate mkono wao na ukizingua wanauwezo wakukutoa roho kwa sekunde,mabasi ya zakaria kutupwa nje ya basi labda kwa kupungukiwa nauli lilikua jambo lakawaida na ameua wengi kwa mtindo huo,kumwagiwa tindi kali jamani nakumbuka moja kuna kijana wakiluo alipungukiwa na nauli maeneo ya magu kuingia serengeti yule kijana alirushwa nje na shati yake ikawa imebanwa na mlango burutwa maiti nyama zikawa zimebaki barabarani tokea magu hadi maeneo ya bunda mwisho walienda kuzika kichwa 2,hakika hawa jamaa ni hatari.

Hakuna marefu yasiyo na Ncha, hata nao itafika mahali watakwenda tu. Wako wapi akina Gadaffi, Saddam. Mabutu, Idd Amin. duniani fanya utakavyo lakini siku moja utapita tu.
 
1. Endelea kufananisha picha. Lakini endelea pia kujenga mashaka kama nilivyoandika siku mbili zilizopita.
2. Kamanda alikuwa anatoka wapi - sherehe?
3. Alimbeba nani - mwalimu? Lifti? Kutoka wapi kwenda wapi? Mwalimu alikuwa anatoka wapi usiku huo? Hajaolewa? Mume wake yuko safari au alighairi sherehe? Mume wa mwalimu ni nani? Wanaishi wapi? Alimwacha wapi mume wake na kubebwa na polisi mkuu wa mkoa? Aliwaacha wapi aliokuwa nao na yeye kupata lifti? Kwanza kabisa, alikuwa na nani kabla hajapewa lifti. Mtu wa mwisho kumwona mwalimu na polisi wakiondoka ni nani? Kama polisi alipakia abiria wengine walishuka wapi?
4. Mkuu wa polisi na mwalimu walikuwa pamoja kwa muda gani wakiwa peke yao na wapi? A La Kairo au wapi? Hapo Kairo walikuwa wakifanya nini - tangu lini hadi lini? Mwalimu wa shule ya msingi ya Nyamagana, eti? Alikuwa anatoka wapi - naye kwenye sherehe hiyohiyo na Burlow?
5. Mwalimu mkuu anasema nini? Dada yake? Ndugu zake wengine? Hivi polisi mkuu wa mkoa na mwalimu walikutana kwa bahati mbaya? Tafuta. Tafuta.
6. Mahali aliposhambuliwa mkuu wa polisi ni karibu na kwake au kwa mwalimu?
7. Endelea kujenga mashaka: Ofisa uhamiaji aliyenusurika yuko wapi katika sinema hii? Hajui lolote? Kati ya polisi mkuu na mwanamke, hakika hakuna pandikizi la kukamilisha sura ya sinema? Hakuna?????? Tafuta. kama lipo linaweza kuwa limewekwa na nani na kwa nini?
8. Katika miaka mitatu iliyopita: Angalia kesi mahakamani Mwanza. Hakuna nyingi zinazohusu polisi na nyendo zao katika maisha ya familia mbalimbali? Hii ishu ya Burlow yaweza kuwa moja ya hizo? Uliza mahakimu - wamelalia malalamiko kwa kuwa polisi wamelalia uchunguzi na ushahidi? Tafuta.
9. Yuko wapi mke wa polisi mkuu? Hakwenda kwenye sherehe? Alikatazwa? Hakupenda? Alijisikia vibaya? Hayupo Mwanza? Yuko wapi.
10. SINEMA HII INAFANANA NA ILE YA UDAKU. SIYO! Acha vijana wafumue muone kitakachotoka kichakani. Na hicho ndicho mazoea, tabia na sasa utamaduni.

11. Kumbuka Burlow alitoka mkoani Mara na mkondo wa wakimbizi na wahamiaji na utajiri wao, kama nilivyoeleza katika disipachi iliyopita, vina nafasi katika mahusiano na tabia za polisi na uhamiaji. Nani atajinyofoa katika hili lenya urefu na upana wa dunia.
12. Naomba Katu na wengine, mwendelee kuchimba. Kama kweli Burlow amefariki katika mazingira hayo, nasema kuna jambo ambalo halina nyumba maalum. Liko kila nyumba ya mwenye madaraka; mwenye fedha za nyongeza. Bali alale pale ambako Mwenyezi Mungu atapenda.
 
kifo cha huyu bwana ni mpango wa ndani katika serikali hii...
 
kazi ipo! hii nchi hii, ................, LORD HAVE MERCY ON US!
 
Sasa ukweli umepatikana. Kumbe huyu jamaa aliuawa akiwa kwenye shughuli za uzinzi. Huyyo kijana anasema shangazi yake alimpigia simu akamwambia anakuja na mgeni anayetaka kufahamu nyumbani. Polisi wanatuambia alikuwa anamrudisha dada yake. Kama angekuwa ni dada yake basi huyu mama angemwambia huyu kijana kuwa anakuja na mjomba wake Barlow.

Pia tujiulize ni kikao gani cha harusi kinaisha saa saba. Huu muda pia wamerudisha nyuma kwani aliuawa zaidi ya saa nane usiku
 
nafanyia kazi taarifa zenu, nawaahidi after five years nitakuwa RPC and the first thing i will do ni kuua hao tycoon mark my word. sipo tayali kabisa kuona majambazi wanafanya wanachotaka.......naomba ushirikiano wenu....endeleeni kunipa taarifa hiizi kwangu mimi, hizo ndo taarifa za kiitelijensia
 
lakin huyu mwanamke alikuwa hana mume, hapo itakuwa wauaji walipanga kufanyia kazi yao hapo ili kupata mwamvuli, namfahamu barlow tangu mwaka 2005 akiwa rco kigoma, jamaa hapendi kutumiwa kwa maslahi ya mtu au chama, lakin ni mjasiriamali mzuri, hapa kwa suala mapenz kwa mm siami, itakuwa wamedhurumiana au kuna kuna kitu chini ya kapeti.
 
Hakuna marefu yasiyo na Ncha, hata nao itafika mahali watakwenda tu. Wako wapi akina Gadaffi, Saddam. Mabutu, Idd Amin. duniani fanya utakavyo lakini siku moja utapita tu.
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga,mficha maradhi mauti umu umbua,kijana wetu kanumba alificha atembei na LULU hatimaye tumegundua yeye kafariki
 
Niliwahi kusafiri Mwanza miaka ya nyuma late 1990's,na niligunduwa hilo,criminals walikuwa wakimwabudu kama God Father wao,sasa nimeshangazwa sana kusikia eti ni mtopu wa ccm.Kama kuna mtu anaweza kuwasaidia kumjuwa aliyemwua huyo kamanda,basi ni huyo Gachuma,huyo anaheshimika huko kuliko hata rais wa nchi.Tena especially na criminals.

kumbe yupo ccm kulinda maslahi!
 
hivi video ya dr ulimboka, Ikulu na Kova imeishia part gani..

ilikuwa inaonyesha chenga sana Kova amerudi studio kurekodi upya..................................soon enough it'll come out, hofu yangu ni bilioni tatu tu
 
Ni mjumbe wa nec ya ccm toka mkoa wa Mara na ndiye king makers wa ccm lake zone , hivi majuzi kawaambia vijana wavute bangi ili ccm ishinde 2015. Huyo ndie Mwita gachuma akiamua anakuondoa duniani Muda wowote, nahisi anamiliki jeshi lake la Siri

huyuhuyu mwenye hisa mwanza hotel na kiwanda cha coca mwanza.christopher mwita gachuma.
 
Naona sasa tumehama na kujikita kwa Gachuma na vijana wake, turudi kwenye hoja "was commander Barlow assassinated?"
Hayo ya Gachuma mnayoyasema mimi nayaona ni mazito yanafaa kufunguliwa thread yake ili yajadiliwe kwa kina
 
Lakin ballow nae alikuwa bonge la jambazi.kwa tunao mfahamu tunajua sana.hao wamedhulumiana tu.pili mke wa mtu sumu.
 
1. Endelea kufananisha picha. Lakini endelea pia kujenga mashaka kama nilivyoandika siku mbili zilizopita.
2. Kamanda alikuwa anatoka wapi - sherehe?
3. Alimbeba nani - mwalimu? Lifti? Kutoka wapi kwenda wapi? Mwalimu alikuwa anatoka wapi usiku huo? Hajaolewa? Mume wake yuko safari au alighairi sherehe? Mume wa mwalimu ni nani? Wanaishi wapi? Alimwacha wapi mume wake na kubebwa na polisi mkuu wa mkoa? Aliwaacha wapi aliokuwa nao na yeye kupata lifti? Kwanza kabisa, alikuwa na nani kabla hajapewa lifti. Mtu wa mwisho kumwona mwalimu na polisi wakiondoka ni nani? Kama polisi alipakia abiria wengine walishuka wapi?
4. Mkuu wa polisi na mwalimu walikuwa pamoja kwa muda gani wakiwa peke yao na wapi? A La Kairo au wapi? Hapo Kairo walikuwa wakifanya nini - tangu lini hadi lini? Mwalimu wa shule ya msingi ya Nyamagana, eti? Alikuwa anatoka wapi - naye kwenye sherehe hiyohiyo na Burlow?
5. Mwalimu mkuu anasema nini? Dada yake? Ndugu zake wengine? Hivi polisi mkuu wa mkoa na mwalimu walikutana kwa bahati mbaya? Tafuta. Tafuta.
6. Mahali aliposhambuliwa mkuu wa polisi ni karibu na kwake au kwa mwalimu?
7. Endelea kujenga mashaka: Ofisa uhamiaji aliyenusurika yuko wapi katika sinema hii? Hajui lolote? Kati ya polisi mkuu na mwanamke, hakika hakuna pandikizi la kukamilisha sura ya sinema? Hakuna?????? Tafuta. kama lipo linaweza kuwa limewekwa na nani na kwa nini?
8. Katika miaka mitatu iliyopita: Angalia kesi mahakamani Mwanza. Hakuna nyingi zinazohusu polisi na nyendo zao katika maisha ya familia mbalimbali? Hii ishu ya Burlow yaweza kuwa moja ya hizo? Uliza mahakimu - wamelalia malalamiko kwa kuwa polisi wamelalia uchunguzi na ushahidi? Tafuta.
9. Yuko wapi mke wa polisi mkuu? Hakwenda kwenye sherehe? Alikatazwa? Hakupenda? Alijisikia vibaya? Hayupo Mwanza? Yuko wapi.
10. SINEMA HII INAFANANA NA ILE YA UDAKU. SIYO! Acha vijana wafumue muone kitakachotoka kichakani. Na hicho ndicho mazoea, tabia na sasa utamaduni.

11. Kumbuka Burlow alitoka mkoani Mara na mkondo wa wakimbizi na wahamiaji na utajiri wao, kama nilivyoeleza katika disipachi iliyopita, vina nafasi katika mahusiano na tabia za polisi na uhamiaji. Nani atajinyofoa katika hili lenya urefu na upana wa dunia.
12. Naomba Katu na wengine, mwendelee kuchimba. Kama kweli Burlow amefariki katika mazingira hayo, nasema kuna jambo ambalo halina nyumba maalum. Liko kila nyumba ya mwenye madaraka; mwenye fedha za nyongeza. Bali alale pale ambako Mwenyezi Mungu atapenda.

kwa mujibu wa gazeti la Tz daima.kamanda burlow alipigwa risasi za kutosha,maeneo ya shingo na kifua.pia waliondoka na bastola yake na radio call.
Hii inaashiria kuwa wauaji walidhamiria kummaliza.
Dhana ya kuwa ni polisi jamii ndio waliotenda tukio hili inazidi kufifia.
 
Back
Top Bottom