Warren Buffet Smart or lucky?...

Unajua the guy has someskills no else has yeye ana buy companies at a lower prices and then sell at a high
prices. Pia hanunui stocks based on market prices or market expectations kwani hakubaliani na argument that markets are efficient. Yeye hukaa akacalculate na rafiki yake wa siku nyingi value za stocks. Na ndio maana anadrive markets kwasababu investors wengi wanamtrust. Alinunua stake za kampuni ya reli iliyokuwa nearly kufilisika, prices za kampuni hiyo zikapanda sana.

Vilevile nikirudia point Warren anainvest huwa anaangalia jinsi aisaidie ile kampuni au wanamatatizo gani hivyo when it goes to a negotiation table huwa anawaambie nini wafanye ili awekeze.sasa that is investing na sio speculation unabuy Leo kesho wauza
Unajua katika academia ya Economics kuna wale maliberal, na classic economist and wengine kibao lakini kwa huyu jamaa ni vile fundamental katik kuona makampuni yake yanakuwa imara na hata ajaribu kununua magazeti kibao na myspace,Ebony, na CCN
 
Bruce lee alisema, ahamini kwenye lucky, bali kuna mazingira ya kuifanya hiyo lucky uipate, huwezi kua shekhe haswa halafu ukaletewa bia zinazouzwa 200 tu ukaziuze bei nzuri,i mean lucky inatengenezewa mazingira.
 
Back
Top Bottom