Warombo,Wamachame,Wakibosho si wachagga

Kutokana na utafiti wangu niliofanya mkoani kilimanjaro nimegundua ya kwamba mkoa wa kilimanjaro una makabila tofauti si chini ya saba kama ifuatavyo:wapare,wagweno,warombo,wamachame,wakibosho,wasiha,wachagga(vunjo),na wakahe.Kilichonisaidia kwenye tafiti yangu na kugundua kuwa watu wa vunjo ndio wachagga ni kwamba wanaongea lugha moja na tamaduni yao ni tofauti kabisa na hayo makabila mengine,na ikumbukwe ya kwamba jamii inaweza kujitambulisha ya kuwa wao ni kabila moja pale tu ambapo jamii husika wanaongea lugha moja na tamaduni yao ni moja.
Nawasilisha

Hoja dhaifu sana. Kaanze tena utafiti. Unafahamu kabla ya hawa tunaowaita wachaga, ni watu gani walikuwa wanaishi kwenye slope za mt Kilimanjaro? Ni nini sababu ya kuwepo kwa vijikabila katika kabila la kichaga? Origin ya kila kikabila kwenye eneo la Chaga land? Kwani zipo koo ambazo zipo through out the sub-tribes mf. Masawe, Kimaro n.k.? Ni mila na tamaduni zipi zinazowafanya wachaga wawe wamoja? Nini sababu ya vita kati ya hivi vijikabila? Kwa nini madhehebu ya RC & KKKT & Islam yamesambaa ktk maeneo mbalimbali? Nini kifanyacho chaga kuwa tofauti na makabila mengine?
 
si wewe uliyekuwa unasema ni wasomi sana???
sasa wamekuwa wazulumati na wezi tena!!!!

Kama ni kweli basi wanatumia usomi wao kuiba na kudhulumu. Hiyo inaitwa "kalamu" kama hujaenda shule utashikaje kalamu?
 
Lolz.......nan bibie??Ndo ulichotegemea? Pole xana......njoo upumuliwe kisogoni.......
hahaaa, ulishakubali nikufanyie D.R.E sasa mayowe ya nini? we bend-over tumalizane tu, mayowe hayatasaidia, sanasana utajaza watu tu..
 
Hoja dhaifu sana. Kaanze tena utafiti. Unafahamu kabla ya hawa tunaowaita wachaga, ni watu gani walikuwa wanaishi kwenye slope za mt Kilimanjaro? Ni nini sababu ya kuwepo kwa vijikabila katika kabila la kichaga? Origin ya kila kikabila kwenye eneo la Chaga land? Kwani zipo koo ambazo zipo through out the sub-tribes mf. Masawe, Kimaro n.k.? Ni mila na tamaduni zipi zinazowafanya wachaga wawe wamoja? Nini sababu ya vita kati ya hivi vijikabila? Kwa nini madhehebu ya RC & KKKT & Islam yamesambaa ktk maeneo mbalimbali? Nini kifanyacho chaga kuwa tofauti na makabila mengine?[/QUOTE]

hapo naamini kabisa utakuwa umeeleweka kwa anayetaka ukweli, kinyume na hapo tuwaache waendelee na majungu yao.
 
Ndg Nyagi,
Wakahe na Wauru naona ni kitu moja tu.
Yale yalikuwa maeneo ya Wauru ya kulima. Wenyewe wanaita "nuka"; nahisi maana yake ni "porini".

Nkundaruwa tirima. Wakahe waliishi maeneo ya milimani huko old moshi, then walifurushwa na wa oldmoshi na kukimbilia maeneo tambarare. wao na wauru si kitu moja.
 
Inawezekana ukawa sahihi maana katika mkoa wa Kagera pia wahaya ni wa Bukoba Vijijini, Misenyi, na Muleba! Karagwe ni wanyambo, Biharamulo ni wasubi na wasukuma. Ngara ni waangaza. Hivyo huwezi sema kagera ni mkoa wa wahaya.

Mbeya hivyohivyo; Wanyakyusa ni Tukuyu, kyera na Rungwe. Wasafwa ni Mbeya mjini na vijijini, Mbozi na Ileje ni wandali, wakati Chunya ni wambungu!
upo hapo?
oi Wambungu tena!! Hawa ni Jamii Yetu Wairaqw Mbeya hivi nako Walifika aah! asije kusema yule mama wa Malawi kuwa Wairaqw nao ni Raia wa Malawi...
 
jambo moja mnalolisahau ni kuwa ingawa hauwataji wasomali humo mnasahau kuwa akina Lyatonga wana kausomali ndani yake.
 
Mi nadhani tukiwaondoa hao Watani zetu, wengine wote (Warombo, Wavunjo, Waold Moshi, Wauru, Wamachame, Wanarumu, Wasiha na Wakibosho) ni WACHAGGA. Kinachotutofautisha ni DIALECTS!
Kila jamii moja ilipokuwa inatenganishwa na nyingine na labda msitu mnene, mto mkubwa, bonde, mlima n.k, hapo huzaliwa dialect mpya ambayo si tofauti sana na Lugha Mama.
Hata desturi na mila zinafanana sana. Tofauti ni ndogo kati ya sehemu na sehemu zinazotenganishwa na mto, misitu au milima

mkuu wewe ni wa wapi kati ya hao, na mimi nafanya tafiti, naomba unisaidie kwa hapo kwenu mnatumia lahaja(dialect)gani? na maneno hya mnayatamkaje hapo kwenu? Mama, anakula, mtoto, ndizi, chakula, analima, anacheza, baba, mlima
asante sana
 
Back
Top Bottom