Memo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 2,157
- 760
Wewe ndo ulikuwa H/boy wetu nini? nakumbuka kuna H/boy wetu flani tulimpeleka shule baada ya kukata majani ya ng'ombe na kuzoa samadi sana!!Kwa criteria yako ya lugha uliyotumia naona upo wrong sana! Ungeniambia labda mtu wa kwanza kuishi kwenye ardhi ya uchagani aliishi Vunjo na wengine wote ni wahamiaji, ningekuelewa kidogo. Mimi nimeishi uchagani kwa zaidi ya miaka 30. Sehemu ya Vunjo ndio wametofautiana sana,,,,,mkirua hataki kuitwa mkilema, mkilema hataki kuitwa mmarangu licha ya kwamba wote hawa ni waanjo! sasa sijui unaposema wote hawa lao moja unamaanisha nini!!
Alishukuru sana yule kijana........alikuwa ana kiburi kama wewe lakini alikuwa anafanya kazi kama tractor.