Ni Mimi Msiogope
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 352
- 200
- Thread starter
- #21
Unachosema ni kitu cha Busara sana, afadhali mtu asishiriki kutoa maoni yoyote kama hana la maana la kusema, lakini kujenga tuhuma sizo na msingi wowote inakuwa uchochezi na mzizi wa kuwatenganisha watanzania. ukiwa mshabiki wa CDM au CCM nyote ni watanzania na tuna haki sawasawa.
Mtu huwezi kuongoza nchi kwa uongo.
I agree with you for 100%.
Kuna tabaka la watu wanaodhani kuwa wanaweza kusema uongo daima!
Mbinu za matumizi ya msiba ule kisiasa zimeibuka too late wakati mtu ameshaumia na amekaa gerezani kwa siku 500! Hata hivyo hili litakuwa fundisho kwao kwa sababu hawakutegemea kama Deus Mallya angekata rufaa!..
Aibuu!.