WARNING: (sensitive pics) Mtu afanyiwa ukatili!

Nilishatoa tahadhari, hukusoma kichwa cha habari vizuri.
Kwani wabongo huwa wanasoma! wanavamia tu hata sherehe isiyowahusu mfukoni wana ndizi na pilipili.
Kuna jamaa mmoja alikufa kwa bei rahisi hivihivi, aliona embe dodo limeanguka ndani ya fensi akaruka fenzi ya wavu akaingia ndani, hakusoma getini kulikuwa na maandishi haya "Beware Fierce Dog".
Hapo utapata picha ya kilichompata...
 
  • Thanks
Reactions: awp
.......







....





Dah!!

Mke wa mtu ni sumu sana!!

Lakini h awa jamaa kwao sio wastaarabu kabisa!! sijui watu wa wapi hawa!!

Unamkataje mtu "jembe pamoja na mapera yake" then umwache tu wazi huku watoto wa kike na kiume wakiangalia!!!!

Kumbe kuna jamii nje ya Afrika hazija kua kifikra namna hii!!!


....




....

tatizo ni la nani mwanaume au mwanamke kwani huyo mwanamke hajitambui kuwa yeye ni mke wa mtu
 
duh hii balaa yaani kakatwa mtanange na gololi zake na kulishwa mdomoni........? balaaaaa
 
weka link tuone story yenyewe maana isiwe ikawa issue nyingine na si mke wa mtu kama ulivyosema........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom