Warning:maziwa ya lacnor tsn super market yanaexpire 7mar12 muwe makini

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Angalizo tu
wale wapenzi wa maziwa kuna maziwa yana expire 7march tsn supermarket nimepita leo naona yemsheehni mengi tu si mbaya muda bado ila nawaasa muwe makini maziwa hayo aina ya lacnor rangi ya nyeupe na kijani nyuma yameandikwa kiarabu naomba tuwe makini tunaponunua vitu super market mtakufa kabla ya vifo vyenu

sisemi kwa nia mbaya jumamosi jana nimepita supermarket iliopo sinza inaitwa fish supermarket ipo mapambano kununua pepsi light nilipofika nikaangalia nyuma nikiwa najiandaa kwenda kuuliza iweje zime expire toka january ziko humu hatari ndugu gafla nikaona mwanaume mmoja ameingia kwenye fridge na kuanza kuzitoa zoote hongera hope awatazirudisha ama kuwapa watu kwenye harusi ......

Sina nia mbaya ni muhimu tujali afya zetu
tukutane taifa tadhali
chagua ushindi chagua simba scc
 
Na wakaone..sijaenda ile supermarket ya sinza lakini nataraji kesho kwenda kuangalia kama wamerudisha jamani watoto wetu sio awana akili bali mavyakula tunayowapa
 
hao wanaiba mpaaka nje ya nchi si napeleka dili mpwa ??wacha tujifie kwa kushtuka kimtindo na kauambiana through jf asiesikia basi aendelee kula asali
 
Na wakaone..sijaenda ile supermarket ya sinza lakini nataraji kesho kwenda kuangalia kama wamerudisha jamani watoto wetu sio awana akili bali mavyakula tunayowapa

Asante mkuu. I guess kazi ya u-spy inakufaa. You could make wonders!
 
asante kwa tahadhari....
Ila watanzania tuwe na utaratibu wa kukagua expire date ya kila bidhaa tunayonunua jamani.....
 
asante kwa tahadhari....
Ila watanzania tuwe na utaratibu wa kukagua expire date ya kila bidhaa tunayonunua jamani.....
shoprite mlimani walikuwa na yaliyobakisha siku moja tu kuexpire, wakauza Tsh 1,000/ yaligombewa kama mpira wa kona na hakuna aliyenyonyoka nywele kama Mwakyembe !
 
shoprite mlimani walikuwa na yaliyobakisha siku moja tu kuexpire, wakauza Tsh 1,000/ yaligombewa kama mpira wa kona na hakuna aliyenyonyoka nywele kama Mwakyembe !

mkuu UNAWEZA USINYONYOKE NYWELE KAMA MWAKYEMBE LAKINI UKAMTAFUTA MWAKYEMBE KWENYE NDOA YAKO USIMPATE MILELELEEEEEEEE SABABU YA BUKU...TRUST ME UKAJUTA KWA NINI AUKUWA KAMA MWAKYEMBE
SO KUUMWA KAMA MWAKYEMBE NI RAHISI SANA KULIKO KUMPATA MTU KAMA MWAKYEMBE UKISHAOA SHUGULI UTAZUNGUKA TANGA NZIMA KUMBE ULIKULA VYA BUKU BUKU VIKAARIBU LADHA YOTE CHINI NA KUWA MAJI BADALA YA SPERMS
 
Ahsante mkuu kwa taarifa na tahadhari hii! Tungekuwa na wazalendo wa aina hii katika mipaka yetu, tungeepesha vifo vya watu ambao hawana hatia.
 
shoprite mlimani walikuwa na yaliyobakisha siku moja tu kuexpire, wakauza Tsh 1,000/ yaligombewa kama mpira wa kona na hakuna aliyenyonyoka nywele kama Mwakyembe !

Huwa nawadharau sana binadamu ambao hukejeli magonjwa ya wenzao! Mwenyezi Mungu anaweza kukushushia ugonjwa wowote anaotaka na kwa muda anaotaka. Wahenga wanasema, hujafa hujaumbika!
 
Back
Top Bottom