Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,319
- 33,125
Tafadhali Usije kutumia njia hiyo Utaiuwa Computer yako Mchanga wa pwani huo mimi simo....................
Kitambaa laini ni njia nzuri ila kinabidi kiwe na unyevunyevu wa sabuni na kabla ya kusafisha zima laptop.Kwa kupitia thread hii, naomba msaada wa namna nzuri ya kusafisha Lap Top. Mimi huwa natumia kitambaa laini lakini imegundua kwamba Laptop imekua na michubuko. Nifanyeje ndugu zanguni?
Kumbe kuna wazungu mambumbumbu! nilikuwa najua wazungu wote ni wajuaji ndio maana nchi zao zikawa na maendeleo hivi tunavoziona.
sio mbumbumbu hii ni njia nzuri tu , cha msingi baada ya hapo iatakiwa aziache kwa muda mrefu sana ili maji yaishe kabisa, hata mi huwa nafanya hivyo
Computer zake ameweka software inaitwa water proof yaani computer yako hata imwagikiwe chai inadunda bila shida
Angalia hii Video Mkuu tatanyengoKwa kupitia thread hii, naomba msaada wa namna nzuri ya kusafisha Lap Top. Mimi huwa natumia kitambaa laini lakini imegundua kwamba Laptop imekua na michubuko. Nifanyeje ndugu zanguni?
Mkuu Kaitampunu kwanini? anaogopa Virus wasiingie nyumbani kwake nini mkuu?Ok, umejiuliza kwani anazisafishia mbali na nyumbani?
Mkuu Kaitampunu kwanini? anaogopa Virus wasiingie nyumbani kwake nini mkuu?