stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,750
Kinachoniboa SmartPhone zote hazikai na Chaji kuna nyingine hata siku humalizi kabisa.
Kinachoniboa SmartPhone zote hazikai na Chaji kuna nyingine hata siku humalizi kabisa.
best is relative....sioni sababu ya watu kubisha ....besides in this fluid business (mobile)...best lasts just for six months.
The important points tumepata hapa
:ni buyer beware kuna windows phone 7 mobiles ambyo hazi support ussd---- kwahiyo ussd apps kama MPesa hazifanyi.
:windows phone 8 ina support USSD kwahiyo new Nokia Lumia's do support mpesa.
Sasa kama bado ninayo windows phone 7 ....niki upgrade to windowsphone 8 ita kubali mpesa apps...au.
Au windows phone 8 isnt upgradeable to for some winpho7 devices.
Thats the important thing to know...
Kaka mbona hako kavideo kako hakawezi kukusapoti katika mjadala huu? Hako si katangazo tuu,achana nako katakupotezea,nguvu na hoja za msingi ambazo pengine unazo juu ya thread hii.
hizo site zako Gizmodo za Australia, Best Smartphone kwa miezi 12 iliyopita ni Samsung Galaxy S3 dunia nzima inajua, acha papara soma vizuri 'Global mobile Awards' ndio inayotoa statistics zote kwa mwaka mzima, ceremony ya mwisho ilifanyika February 26, 2013 kule Barcelona, Spain...soma hapa ( Winners 2013 | Global Mobile Awards ) hizi zingine za kukusaidia kuflash akili iliyotawaliwa na vibonde Nokia..
Samsung Galaxy S3 grabs best smartphone award at MWC 2013 - uSwitch.com
T3 Gadget Awards 2012: Phone of the Year | T3
The best smartphone of 2012: Samsung Galaxy S3 | Mobile | Geek.com
Best smart phones | Reviews | CNET UK
Announcing the Winners
Best Mobile Health Product or Service
MIPsoft for BlindSquare
Highly Commended Swiftkey Healthcare
Best Mobile Education or Learning Product or Service
Mobilink for SMS Based Literacy program
Best Mobile Product or Service for Automotive
BMW i, MINI, Sixt and Vodafone Group for DriveNow Premium Car Sharing
Best NFC /Mobile Money Product or Service
Etisalat for Flous The Etisalat Commerce Programme
Best Mobile Publishing Product or Service
Ver Se Innovation for NewsHunt
Best Mobile Innovation for Smart Cities
Streetline for Parker
Best Mobile Enabled Consumer Electronics Device
Samsung Electronics for Samsung GALAXY Camera
Best Enterprise Mobile Service
Mobilelron for Version 5 Complete Enterprise Persona
Best Consumer Mobile Service
Comviva for Mahindra Comvivas mobiquity MFS platform powering mTicketing service for Bangladesh Railways
Best Advertising or Marketing on Mobile
McCann Worldgroup (Hong Kong) for Chok! Chok! Chok!
Best Network Product or Solution for Serving Customers
NTT DOCOMO for Hanashite Honyaku, worlds first automatic voice translation service
Best Product, Initiative or Service in Emerging Markets
Ericsson for Amazon Connection a digital inclusion program in the Amazon
GSMA mWomen Best Mobile Product or Service for Women in Emerging Markets
Asiacell for Almas Line
Best Use of Mobile in Emergency or Humanitarian Situations
Vodafone Foundation for Vodafone Instant Network
The Green Mobile Award
Indus Towers for Green Sites Project
Best Mobile App for Consumers
Best Mobile App for Enterprise
Evernote
Judges Choice Best Overall Mobile App
Waze
Highly Commended Sky Sports F1 Companion
Most Innovative Mobile App
McCann Worldgroup (Hong Kong) for Chok! Chok! Chok!
Smartphone Application Challenge
AT&T for Application Resource Optimizer (ARO)
Best Application using Network APIs
Bharti Airtel Limited for my airtel app
Best Smartphone
Samsung Galaxy S3
Best Feature phone or entry level phone
Nokia Asha 305
Device Manufacturer of the Year
Samsung
Best New Mobile Device
HTC
Best Mobile Tablet
Google & Asus for Nexus 7
Best Mobile Infrastructure
Samsung Electronics for Smart LTE Networks
Best Mobile Technology Breakthrough
Accuris Networks for AccuROAM Wi-Fi: Making Wi-Fi a carrier driven extension of GSM for Offload and Roaming
Best Cloud Based Technology for Mobile
Jasper Wireless cloud-based connected devices platform for machine-to-machine (M2M) and consumer electronics
Best Mobile Safeguard & Security Products and Services
AdaptiveMobile and Syniverse for Messaging Trust
Outstanding LTE Contribution
SK Telecom for 4G LTE with PETA Solution
Outstanding Overall Mobile Technology The CTOs choice
Samsung Electronics for Smart LTE Networks
Spectrum for Mobile Broadband Award
Government of New Zealand
Mobile for Development Award
U.S. Agency for International Development
m-Government Award
Government of Moldova
GSMA Chairmans Award
Joint Winners KT & SK Telecom
Sony Ericsson anaongoza hapo kwenye bold!! Yaani najuta kuinunua aisee mpaka kero!!
mkuu upgrade for WM7 to WM8 haipo, but... naskia 7.8 naskia ipo almost as good as 8 so mayb waliweka marekebisho, tumtafute aliyeitumia atuambia experience yakebest is relative....sioni sababu ya watu kubisha ....besides in this fluid business (mobile)...best lasts just for six months. The important points tumepata hapa :ni buyer beware kuna windows phone 7 mobiles ambyo hazi support ussd---- kwahiyo ussd apps kama MPesa hazifanyi. :windows phone 8 ina support USSD kwahiyo new Nokia Lumia's do support mpesa. Sasa kama bado ninayo windows phone 7 ....niki upgrade to windowsphone 8 ita kubali mpesa apps...au. Au windows phone 8 isnt upgradeable to for some windows7 devices. Thats the important thing to know...
mkuu upgrade for WM7 to WM8 haipo, but... naskia 7.8 naskia ipo almost as good as 8 so mayb waliweka marekebisho, tumtafute aliyeitumia atuambia experience yake
Mi naona mmekalili majina ya cmu,Tecno wanakuja juu
Kinachoniboa SmartPhone zote hazikai na Chaji kuna nyingine hata siku humalizi kabisa.
simu zisizosuport m-pesa ni simu zinazotumia windows phone 7, sio nokia lumia tu zipo samsung, htc, lg, nokia wenyewe kuna alcatel na manufacture wengine wa kichina.
Nokia lumia zinzotumia windows phone 8 zote zinaingia mpesa na zinapiga kazi vizuri zaidi ya android na ios interms of perfomance.
Kuzijua simu za nokia zinazotumia windows phone 8 angalia namba zake zinaishiwa na 20 mwisho kuna
-lumia 920
-lumia 820
-lumia 720
-lumia 620
-lumia 520
so unaposema simu za lumia unakua kama unakosea mkuu
sio kwamba waAustralia hawafai kuJudge simu, lakini ni kwamba Australia ni just a fraction of the entire mobile world, votes zao sio decider wa the entire globe, votes zao pia zimezingatiwa katika kupata best smartphone lakini mwishoni S3 ikashinda. Angalia Judges ni kina nani kwenye site yao. Global Mobile Awards ndio wenye jukumu hilo la kutoa hizo statistics na mtu atakuwa hajakosea akisema ndio 'world cup' kwa upande wa simu na Samsung Galaxy S3 ndio imelibeba kwa mwaka uliopita!! pia Jarida la kichumi duniani yaani 'Forbes' nadhani unafahamu, walishatoa report yao S3 kuwa best smartphone baada ya kuipiku iPhone 5, angalia hapa ( Samsung Galaxy 3 Beats Apple IPhone To Best Smartphone Award - Forbes ) otherwise, haya yote ni katika kuelimishana tu, hakuna ubishi hapa..So wa australia hawafai kujudge simu? Au akili yako inakwambia wamarekani tu wenye akili. Dunia ina watu bilion 6 na kitu so kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake ya simu anayoipenda. Gsma wameipa galaxy s3 lakini hii ni tuzo kama tuzo nyengine. Huwa hatuna fifa wa simu kila tuzo ni independent.
Achana na gizmodo maybe kwa opinion yako hawafai what about engadget? Nao pia wajinga?
Engadget alexa rank yake inarange 500 hadi 600 ni site ambayo inakua na user wengi sanaaa. Engadget na theverge ndo site zinazoongoza kwa watu kuvisit sana kwenye masuala ya simu.
So na hawa engadget wanawapromo nokia????
What abt phonearena? Hawa jamaa ni famous kwa kupendelea iphone lakini walishindwa kukipa ushindi kipenz chako iphone 5
mkuu usipo apriciate contribution ya lumia 920 wewe sio mwana tech. Sababu imecontribute vitu vingi so far ambavyo simu kama htc one na galaxy s4 wameiga/kuomba/kununua