Warning: Don't try to talk to me.........

ha ha ha, nani tena huyo mkimjaribu ana log off??? Labda kawa Washawasha.

Mie nataka tumzukie pet kwa mashambulizi ya Iraq hadi awe mpole na yeye.

Usinisemee bwana. We una maneno matam matam.
Uliangusha kijana wa watu, hadi leo u-player umeisha,
ametulia tuliiiii, tukimjaribu kwa-flirt analog off. lol
Kama utanisemea kwa muuza pet basi uwe unaniweka in CC.
 
Kuna mtu kapotea kianina, anaingia kwa machali.
Alianzishiwa thread April mosi, alikua online, aka log off. lol
Huyo wa pet, labda PetCash. isiwe yule muuza pet mwenywe, please.
 
duh, huyo wa aliamua kupotea kwa hiari.
Sihusiki na upoteaji wake, labda kawa Washawasha.

Owkay, basi tutaongea na Petcash, ila mada itakuwa nini?

Maana nilitaka tuangukekule kwa maneno matam matam.

Ongea nae, mwambie asiondoke, tumesha mzowea.
Akienda tutammiss sana, tutakosa wa kutupeleka journey in the heart of JF.
 
mtakumbuka boundary zenu??

Kama mta-observe boundaries ntamwita muda si mrefu.
Si unajua tena, chunga kilicho chako lol :)

Sasa mi nitapigana front ngapi?
Kuna moja ile nimedevelop interest (ila mkaka kafunga PM hakyanani!)
ingine ni ile naona kama challenge (ya kupunguza uvivu tu)
Hii nimesema tu ili idadi ya active member isishuke, But sio personal kiivo,
kama utashindwa kumconvince mwache aende.
 
Mi nina siku nyingi kweli sija-fall in love.
Nahisi kama bet fulani hivi, I want to try. :A S 39:
Teh teh teh DEAL! Ila nihakikishie tu yule mshkaji hataniua...
 
mmh, kuna wengine waweza kuwa nazo hata 5 lol

huyu ana jeuri ya kufunga PM kweli? Sidhani labda pet, jeuri hiyo anayo.

Tena kama sio personal kihivyo ndo namwita kwa raha zangu.
Sasa mi nitapigana front ngapi?
Kuna moja ile nimedevelop interest (ila mkaka kafunga PM hakyanani!)
ingine ni ile naona kama challenge (ya kupunguza uvivu tu)
Hii nimesema tu ili idadi ya active member isishuke, But sio personal kiivo,
kama utashindwa kumconvince mwache aende.
 
Hahahahaha, kumbe na wewe unataka kuanguka?
Haya basi, nakuachia huyu.
Unakumbuka thread yake ya kumdondokea Lizzy?
Mh sijaua ila nahisi naye ameshindwa kusimama...Lol! Balaa laja...
 
ha ha ha, mie naanguka PM for you.
Kwa yule anayeuza mnyama.

Am so taken somewhere lol :(

ilumbu lyane. ka babu odm umekaacha wapi?

Usinisemee bwana. We una maneno matam matam.
Uliangusha kijana wa watu, hadi leo u-player umeisha,
ametulia tuliiiii, tukimjaribu kwa-flirt analog off. lol
Kama utanisemea kwa muuza pet basi uwe unaniweka in CC.

Nimemkumbuka ndugu yangu SI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom