WARNING: Bongo5 ina Virus

Mie kwangu haijawahi kunisumbua hata siku moja, labda kwa vile natumia Macbook, hapa nasikiliza clouds fm.
 
kila nikiingia napata security warning:site is unsafe....rekebisha mambo bado hujamaliza!

Unatumia antivirus ipi maana tumetest na antivirus nyingi na tovuti halina virus. Naomba u-clear cache yako pamja na Temporary Internet Files ili kufuta zile fiels za zamani, nadhani inaweza kusaidia.
 
Kwakuwa tangazo lenyewe nililitoa mimi basi naomba niseme kuwa nimei-scan site kwa sasa iko clean.

Mkuu Bongo5, pole kwa masaibu hayo na mmefanya vema kurekebisha hali.

Asante sana kwa kutoa tangazo, ni vyema kutahadhari wadau tunapokutana na virusi. Ukipata tatizo tena usikose kuwasiliana nasi, namba za simu na email zipo ndani ya tovuti yetu.

Pamoja
 
Back
Top Bottom