Sasa kama kitu kinaonekana kwa nadra watafanyaje mzee, tena afadhali wao mara kumi maana Ustaarabu upo katika masulamengi, ingekuwa sisi na upuuzi wetu....... nadhani ingekuwa balaa na ustaarabu mdogo tulionao ungekoma kisingizio ingekuwa jua.:drum:Alafu wazungu bana kijua kidogo vichupi kibao mitaani... agh!
Usiwatete bana wazungu hawana ustaarabu wowote... wanaendekeza tu kwenda uchi... Tatizo la wabongo wao ni kuiga tu basi.Sasa kama kitu kinaonekana kwa nadra watafanyaje mzee, tena afadhali wao mara kumi maana Ustaarabu upo katika masulamengi, ingekuwa sisi na upuuzi wetu....... nadhani ingekuwa balaa na ustaarabu mdogo tulionao ungekoma kisingizio ingekuwa jua.:drum: