THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,365
- 12,823
Candid Scope, DULLAH MSAVIVOR,
..hatujamsikia Dr.Salim akipinga ufisadi.
..hatujamsikia akikemea na kupinga udini na ukabila.
..hatujamsikia akikemea ubaguzi wa waZNZ dhidi ya wa-TGK.
..hatujamsikia akitetea muungano, au akipendekeza muundo bora na wa haki wa muungano.
..hatujamsikia akipinga sera za uuzwaji holela na umilikishwaji wa mali za umma.
..inasemekana ni mwanafunzi nambari wani wa Mwalimu Nyerere lakini hatetei siasa za ujamaa, wala hahubiri sera ya kujitegemea.
..hatujamsikia akitetea nafasi ya Tanzania ktk jumuiya ya Afrika Mashariki.
..hata wakati wa harakati za KATIBA MPYA hatukumsikia akieleza msimamo wako.
..the man is just silent and indifferent kwa mambo yote yanayomkaibili nchi yetu na mwananchi wa kawaida.
..inasemekana anajiweza, lakini sijawahi kusikia amechangia msikiti, kanisa, shule, kisima cha maji, timu ya mpira, popote pale nchini.
cc: Kubwajinga, Nguruvi3, Ritz, njiwa
Tena ni bora ameamua kukaa kimya hivyo hivyo,,
Mnataka aongee ili mumwekee maneno yenu kinywani mwake??
Nani asiewajua wabongo kwa visa??
Hivi kakaa kimya tuh mmeanza kumchokonoa chokonoa je akitoa kauli yake??itakuaje..