Halisi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2007
- 2,802
- 613
Baadhi ya maswali yaliyoulizwa humu na wana JF yanaweza kujibiwa na maelezo haya hapa chini. CEO wa Mwananchi Gold anaitwa Mr Isaac Manyalla na anatoka BoT. Maelezo mengine ni kwa mujibu wa magazeti ya Thisday na KULIKONI na wao wamenukuu mahojiano yao na Manyalla, Warioba, Mangula (alikuwa Katibu Mkuu wa CCM), Peter Kisumo (Mdhamini wa CCM ambao ndio wanatambua mali za chama), Andrew Mkapa wa Brella na nyaraka za Brella.
Wakati Chimera ni Kampuni ya kigeni ya Wataliano, Mwananchi Trust ni kampuni ya kizalendo ambayo kwa kiasi kikubwa inamilikiwa na kina familia ya Warioba, Mahalu na Yussuf Mushi (kama si kuwashikia watu) kupitia kampuni zao za Umoja, VMB, YM na CCM Trust.
ThisDay
BoT ilitoa mikopo isiyo na riba ya jumla ya Dola za Kimarekani 2,609,478.55 kwa mwaka 2004/2005 na mwaka uliofuata (2005/2006) ikatoa tena mkopo mwingine wa Dola za Marekani 2,902,920 na hivyo kufanya jumla ya fedha zote zilizokopeshwa kwa Mwananchi Gold kuwa Dola za Marekani 5,512,398.55 hadi tarehe 30 June, 2006.
Wanasheria mbalimbali waliwahi kubainisha kwamba BoT ilikua imekiuka sheria inayosimamia uendeshaji wake (Sheria ya Benki Kuu ya Mwaka 1995, iliyorekebishwa mwaka 2006).
Pamoja na wanasheria hao kunukuu kifungu cha 52(1)(a) kinachoiruhusu BoT kufanya biashara ya dhahabu, wamesema inaruhusiwa kufanya hivyo kama taasisi na si kwa kushirikiana na watu binafsi kama ilivyofanya kwenye Mwananchi Gold.
Wanasheria hao wamenukuu kifungu cha 60(1)(a) cha sheria hiyo kinachoizuia kabisa BoT kufanya biashara na kuwa na maslahi (hisa) za moja kwa moja katika biashara, kilimo ama hata viwanda mambo ambayo yanaweza kuathiri utendaji wake.
Taarifa zilizopo kutoka kwa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) zinaonyesha kuwa, Mwananchi Gold Company Limited ni kampuni binafsi ambayo wamiliki wake ni Benki Kuu ya Tanzania (hisa 500), Shirika la Maendeleo la Taifa (hisa 375), Mwananchi Trust Company Ltd (hisa 1,123) na Chimera Company Limited (hisa 500).
Wakati Chimera ni Kampuni ya kigeni ya Wataliano, Mwananchi Trust ni kampuni ya kizalendo ambayo kwa kiasi kikubwa inamilikiwa na kina familia ya Warioba, Mahalu na Yussuf Mushi (kama si kuwashikia watu) kupitia kampuni zao za Umoja, VMB, YM na CCM Trust.
Hii story hapa chini ina baadhi ya majibu:Mwaka 2003, BoT ilitoa mkopo bila riba kwa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) wa Dola za Marekani 1,865,000 (takriban Shilingi bilioni 2) kwa ajili ya ununuzi wa kiwanja kilichotumika kuweka inayodaiwa kuwa mitambo ya Mwananchi Gold ya kusafishia dhahabu eneo la Vingunguti, Dar es Salaam.
BoT iliendelea kuchangia uendeshaji wa Mwananchi Gold kwa kulipa mishahara na uendeshaji wa kampuni hiyo na mara ya kwanza zilitolewa kiasi cha Dola za Marekani 95,000 (takriban Shilingi milioni 100) kama mkopo kwa kampuni hiyo.
ThisDay
MWANANCHI GOLD PROJECT: Lawyers say... BoT broke the law
THE Bank of Tanzania has broken its own law by investing in the privately-owned Mwananchi Gold Company Limited, legal analysts said yesterday.
BoTs involvement in the Mwananchi project is in contravention of the repealed Bank of Tanzania Act of 1995 that preceded the Bank of Tanzania Act of 2006, which became operational this month, said a legal expert familiar with Central Bank operations.
According to the expert, the 1995 Act allowed the BoT by the provisions of Section 52(1)(a) to import, export, buy, sell, hold or otherwise deal in gold.
However, analysts maintain that the BoT could only do this in its own capacity and not as a shareholder or part of another entity with a separate legal personality.
Citing the provisions of Section 60(1)(a) of the same Act, the experts noted that the law expressly prohibits the BoT to engage in trade, own or acquire any direct interest in any commercial, agricultural, industrial or similar undertaking except in the course of obtaining satisfaction for any debt due to the Bank.
The Mwananchi gold project is not only a private commercial venture, but also an industrial one as it is meant to process raw gold. As such, according to the law, BoT had no business being there, said another expert.
He added: Being a shareholder in the gold refinery, BoT acquired a direct interest in Mwananchi Gold Company and this is, by any interpretation, contrary to the law. And there was no debt to recover when BoT went in.
The new BoT Act of 2006 has similar provisions on the Banks involvement in gold dealings and prohibition on involvement in trade, commercial and industrial undertakings.
The Bank of Tanzania has a 20 per cent stake in Mwananchi Gold Company Limited, which was officially commissioned by former President Benjamin Mkapa in December, last year.
Apart from directly investing in the privately-owned company for its share capital, the Central Bank has been heavily funding the project from its inception.
In the year 2003, the BoT had provided an interest-free loan to the National Development Corporation (NDC) amounting to $1,865,000 (around 2bn/-) for the purchase of the plot in Vingunguti area on the outskirts of the city where the refinery is located.
Last year, the BoT was forced to come to the rescue of the gold refinery when it ran out of money to pay staff salaries.
Following a request from the Chairman of the companys Board of Directors, former Prime Minister, Joseph Warioba, who is also one of the shareholders in the project, the BoT injected a further $ 95,000 (around 100m/-) as a loan to the private, commercial project contrary to its own law.
In a letter dated March 10, 2005, Mr Warioba made an urgent plea to the BoT Governor, Dr Daudi Ballali, for the loan, using share certificates as collateral.
The involvement of the Central Bank in the privately owned project does not only end in bankrolling its operations.
The BoT also seconded one of its senior officers, Mr Isaac Manyalla, to run the gold refinery as its managing director.
There has been confusion over the status of a mystery company using the name of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) that is tied up to the gold refinery.
Top CCM leaders say they are not aware about the existence of the company that owns a substantial amount of shares in the project.
Our investigations revealed that Mr Warioba and businessman Yusuph Mushi, who already own shares in the gold refinery, were also listed as subscribers, directors and first shareholders of the mystery CCM Trust Company Limited.