Warioba 'aruhusu mgombea binafsi'

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
3,216
988
Najaribu kufikiri vichwa vya habari 2014 baada ya Jaji Warioba kumaliza kazi yake kwa mafanikio makubwa na kuhakikisha kipengele cha kuruhusu mgombea binafsi katika chaguzi zetu zote. My take: tutaweza kupata wagombea makini wasiokubaliana na sera za vyama vilivyopo
 
Tuombe Mungu, ni wale wale wa CCM ingawa kidogo Warioba ni objective na ni mjamaa wa kweli.
 
Kama kipengere kinachoruhusu baba mwanaasha kuedit report ya tume ya katiba hakijafutwa tusitegemee la maana sana.
 
Kama kipengere kinachoruhusu baba mwanaasha kuedit report ya tume ya katiba hakijafutwa tusitegemee la maana sana.

Manake kisipoondolewa anaweza kuja kuedit mwanaasha kwa niaba ya baba.
 
Warioba Ausambaratisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
 
Walioba ni gud boy.
Hawa wazee wote hawana jipya ni wale wale hakuna cha warioba wala salim kwa nn vijana wamewekwa kando? unafikiri wana uchungu wowote hao maisha yao walishamaliza watoto nawajukuu wao wapo BOT na sekta nyingine nyeti hawawezi kuwa na huruma na mlala hoi
 
Tunaomba japo waongeze jina la kijana hata moja mwenye mawazo mbadala kwavile hata Prof Shivji hawakumweka
 
hivi hii Tume ya katiba Vijana mbona hawajatujali kabisa, au wazee ndo mawazo yao yanakubalika
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom