Warembo wa Wiki..

Ahahahahaaa....kweli aisee. Siku hizi sio kama zamani.

Last week nimekutana na demu kabeba purse/ bag ya Louie Vuitton halafu anashuka kwenye daladala iliyokuwa inatokea Kiwalani....sasa nikajiuliza...hmm hivi hiyo Louie ni authentic au bootleg.....nikashawishika kuwa ni bootleg kwa sababu huwezi kumudu kununua Louie authentic halafu upande daladala
Mkuu ulimaanisha ipi hapo?
vitu vya louis vuiton
1.jpg

2.jpg

4.jpg

7.jpg



6.jpg

5.jpg

8.jpg

9.jpg

10.jpg

au hii? ------- 3.jpg
 
zamani wasichana wa aina hii unakuta wanaishi masaki hivi
au wamekulia nje ya nchi..
but these days utakuta hao wote ni wa uswazi...
tandika,keko mwanga,vingunguti hivi...yaani....

ICTs na globalisation imekwisha leta usawa kati ya uswazi na masaki!
 
9.JPG

Duh....hivi vinguo vingine dada zetu muwe makini,maanake hata ukicheka tu mambo yaweza kuwa hadharani.

9.JPG


Hiyo chupi ya bluu ya wa katikati ni ya huyo wa kulia kwake mwenye blouse ya bluu - amemwazima tu. Ila cushion yake itakuwa kubwa kweli kweli!!!!!
 
mtaalamu mmoja liwahi sema ukivaa ya juu jitahidi iendane na ya ndani ili ukikosea kidogo isionekane kama hii
 
Hivi maana halisi ya kuvaa nguo ni ipi jamani,maana nijuavyo ni kusitiri mwili lkn pia upendeze,mbona sijaona aliependeza au ni macho yangu:glasses-nerdy:
suara la kujisitri siku hizi wengi wao halijui na kama wanalijua hawataki kurikumbuka wala kukumbushwa. wenyewe wanaikimbiza dunia mpaka wanawanaizidi speed sasa destination sijui wapi?:embarrassed:
 
hiyo louis vuiton ya kutoka china
zipo kariakoo kibao.mpaka viatu vyake.....

siku moja nilienda diamond jubilee kulikuwa na concerts ya bongo fleva....
nilijuta.....
karibu ukumbi wote wamejaa watu kutoka mikoani..
utasema nilikuwa nje ya dar....
siendi tena now.
siku hizi watu wanatoka vijijini wanajua kuvaa vi top na tight jeans kabisa...
unakutana nao mjini wanakuuliza muhimbili ipo wapi unashangaa

Kiongozi....usitake nicheke..tatizo mmezoea kukaa mjini pekee yenu..jamani..tables turn..its our turn kuingia mjini.

Zama za kudhani nyinyi ndo mna hati miliki ya mji zimekwisha...hata kama Muhimbili hatuijui..tutauliza na tutaijua tuu..kwani nyinyi wa Masaki mliijuaje?

Tutafika tuu...
 
Tatizo linakuja kuja unapojipendekeza kiasi umeona kimini na kusikia kingereza . Saa ya kumpa lifti ya kumrudisha home utashangaa mnaingia sehemu kuna kibonde cha ushkaji na njia ya gari moja.Unawaza huku nakoenda sijui kama kuna sehem ya kureverse manake nyumba zimeshikana si mchezo
 
Back
Top Bottom