Warembo wa Wiki..


15.JPG

From Left ni Barbara Amina Hassan wa Clouds FM and her friend...
Tutumu tutumu mwe!
 
hiyo louis vuiton ya kutoka china
zipo kariakoo kibao.mpaka viatu vyake.....

siku moja nilienda diamond jubilee kulikuwa na concerts ya bongo fleva....
nilijuta.....
karibu ukumbi wote wamejaa watu kutoka mikoani..
utasema nilikuwa nje ya dar....
siendi tena now.
siku hizi watu wanatoka vijijini wanajua kuvaa vi top na tight jeans kabisa...
unakutana nao mjini wanakuuliza muhimbili ipo wapi unashangaa

Teh teh teh teh teh teh teh teh ........................kwisha habari yako!:becky::becky::becky::becky::becky:

Unaweza tamani uvue designer package yako !
 
Hivi ni kwa nini waitwe warembo?Urembo wao upo katika nini hasa?Kukaa uchi?Au..........nadhani jina warembo linaweza kuhamasisha tabia hii iendelee. Je wale wanaovaa nguo za heshima wakajipamba na wakapendeza tuwaitaje?
 
Back
Top Bottom