warembo (masista du) wana matatizo gani??

Yan hata kabla sijamaliza kuisoma nikakugongea "LIKE" then nikamalizia kusoma.
Ukweli Mtupu na yamenitokea, ila mi huwa nakula kona nikiona mizinga mapema coz hapo hakuna mapenzi.

wao ndo wanafanya wavulana tuonekani hatujatulia, mtu unakuwa ushamsoma hajatulia lakini kwa kuwa unakuwa hujapata utakacho unatulia na kumtimizia atakacho. akishaingia ndani ya 18 unagonga na kusepa coz ushamsoma tabia. Mia
 
Eheee, hufahamu kuwa mbuzi hula kulingan na kamba yake. We Mvulana sasa nini maana ya usista du, unakuwa na mpenzi ambaye ni sister du halafu unakuwa bahili? Hujui kuwa anapaswa kuishi kulingana na kiwango chake, sasa unatarajia uende naye kwenye ile nyumba ya wageni ambayo ni self contained lakini ndani choo ni cha shimo? au unatarajia mkitoka kwenda sehemu kama huna usafiri apande Daladala au bajaji? Unapofikiria tu kuwa unawmomba sista du na mfukoni uwe swaaaafi. Kama pesa ya kuomba kwa Baba, Mama au Kaka itakula kwako. Kama huwezi hao, chukua wa size yako.
 
mnajila kona tu wenyewe

sasa unataka tufanyeje? kama unaweka pesa mbele mimi nakubali kukupa hizo hela nikishapata nachotaka nakula kona. hata siku nyingine ukija una shida nakuambia nipe kwanza k halafu ndo nikutatulie tatizo lako. asilimia kubwa ya masista du hawafikirii kesho. Mia
 
Kwanza elewa urembo si usista du, na usista du si urembo.

urembo ni uzuri wa kupachika yaani kujipodoa kitu ambacho hata baadhi ya masista du wanafanya lakini wengine ni natural. masista du ni wafuga kucha, wao wanataka kila siku iwe sikukuu. hata akizaa hanyonyeshi mtoto eti matiti yake yatalala. Mia
 
tatizo lao wanajiona ni wazuri kwa hiyo wanachezewa nyapu zao then wanamwaga wapumbavu tu. Nitarudi baadae ila nasikia kausingizi hivi!!

haswaa!. na ndivyo inavyokuwa. Mimi nmekutongoza, mwenyewe unajifanya matawi ya juu yaani unajifanya mtoto wa kifalme. kwa kuwa nmekutamani ntakufanyia unachotaka na kukulainisha kwa maneno matamu then kibuti kama kawa nyambaff yao. Mia
 
Ukimwi unaua, jitaid uwe na mmoja, kama hawez mfunde, hata kwenye magar huanza na Learner then unakuwa fund mzuri, ni mtazamo tu.

wenyewe hawajui hilo. Tunajua tabia zao sana tu. lakini kwa kuwa moyo umemfia unafurahisha moyo wako tu basi. Ukimwi unaua ndo mana tupo makini nao. Mia
 
Unaweza kuniambia ni wapi iliandikwa kuwa masista du au warembo ndo wataalam wa 6/6???. Ila kumbuka tu kwamba kuna masista du na warembo wengi tu ambao ni mamiss independent na hawana shida na vichenji vyenu!! Mi nadhani ungeanza kwanza kuwashauri masharobob na mabrazamen wa jinsia yako walokalia kuuza sura,


NYIE VIUMBE TUNAWAJUA SANA. HATA KAMA UNA HELA HUTOACHA KUMTEGEMEA MPENZI WAKO.NYIE HAMJALISHI MNA HELA AU HAMNA KILA SIKU VIBOMU. Mia
 
Hahahahahah lol! Wanaujua ugali kweli hawa!? wao ni chips mayai tu....Ugali huwaumiza tumbo :):)

Ugali eti hawajazoea. hata kuusonga ugali wenyewe hawajui, sio ugali tu yaani kupika, kufua, kunyosha suruali hawajui. anachojua kupaka kucha rangi, kuset nywele na kuongea na simu. wanaandikaga msg fasta fasta hao..!! ndani ya sekunde 10 anaweza tumia msg watu watatu. Mia
 
Changamka kijana, jifunze kukopa. Unalamba utamu halafu unamruka futi kumi juu ya usawa wa bahari

hapana. na mimi lazima nikaoe kijijini. Mijini hamna wanawake wa kuoa. hawa wa mjini ni wakutokea out tu. Mia
 
Kumbe umeyakimbia kabisa?
Haya sala zitakufuata huko ila zawadi inabidi uzifuate wewe!!!

Nimeamua kuyakimbia japo sijui jirani zangu huko wanaendeleaje. Hizo zawadi hizo.....mmh?? Kama maparachichi tu umeninyongea, heheh nina wasiwasi wa kuzikosa hata hizo!!! Yote tisa, kumi una deni kubwa sana ila naona unajidai kukauka! Lol
 
Mkuu huu utafiti wako wa 6 kwa 6 uliufanya personally or? majibu tafadhali kaka, natamani kuona proposal na methodologies ulizotumia
Habari zenyu? Ukiwaona barabarani wanaonekana wana mvuto wa mapenzi, lakini mbona kwenye 6 kwa 6 ni matatizo? hawajitingishi kabisa. halafu wanakuwaga na mambo mengi, simu kila dakika, message halafu ni watu wa matatizo kila siku wao ni kuomba hela. hata kama ameuchuna siku atakapo kupiga kibomu utashangaa. yaani wanaomba hela utafikili wavulana wanatengeneza hela. ndo maana mvulana akishaona mtu wa hela anagonga na kukimbia kama nyoka. na hii inasababisha wengi kubadilisha mabwana na kuto olewa. Mia
 
Back
Top Bottom