warembo (masista du) wana matatizo gani??

Bado aisee. Hebu toa comprehensive and thorough description basi...

Orait. . . .
. . Wanakula ugali kwa uma ili wasichafue mikono.
. . Wanakunywa bia kwa mrija wasivuruge lipgloss.
. . Hawaoshi vyombo/hawafui kwa woga wa kucha zao walizobandika kubanduka.
. .Wanaogopa mvua/jua kwasababu makeup zitayeyuka.
. .Wanaogopa kuzaa kwasababu wanaume watawakimbia wakiwa kina "mama fulani".
. . Mabingwa wa kuiga.Kwanzia mavazi, namna ya kuongea mpaka kutembea.
. . Wategemezi wazuri. . .
. . Wanapenda kuonekana/julikana kwamba ni zaidi ya walivyo (wanavyoishi).

Etc. . . .
 
Asante.

Sasa naomba na mifano.
 
Hahahahahah lol! Wanaujua ugali kweli hawa!? wao ni chips mayai tu....Ugali huwaumiza tumbo :):)
Hahahaha, si wakienda vijijini?

Alafu we BAK kwakua unawajua embu tupe wasifu wao kidogo.
 
Kakondoo nidai zawadi ya Xmass!
Alafu mafuriko yamekukosa naona, mama mchungaji amefurahi.

heheh asante sana na ya new year nakudai pia! Mafuriko yamenikosa kwakweli nashukuru, ila bado nahitaji sala zako mama mchungaji ili niweze kufika salama hii safari yangu ya leo!!
 
heheh asante sana na ya new year nakudai pia! Mafuriko yamenikosa kwakweli nashukuru, ila bado nahitaji sala zako mama mchungaji ili niweze kufika salama hii safari yangu ya leo!!
Kumbe umeyakimbia kabisa?
Haya sala zitakufuata huko ila zawadi inabidi uzifuate wewe!!!
 
Hahahaha, si wakienda vijijini?

Alafu we BAK kwakua unawajua embu tupe wasifu wao kidogo.

Siwajui banaaa ila niliwahi kuambiwa hawaupendi kabisa ugali...na mimi ugali ni mpenzi mkubwa sana....hivyo kamwe siwezi kuwafahamu/kuwajua lol!
 
Hahahahahah lol! Wanaujua ugali kweli hawa!? wao ni chips mayai tu....Ugali huwaumiza tumbo :):)

wanapenda makuu wakati mfukoni hawana kitu. wanajifanya kuongea kingeleza cha yes no. mi wananiudhi!..
 
Changamka kijana, jifunze kukopa. Unalamba utamu halafu unamruka futi kumi juu ya usawa wa bahari
 
Hihihiiiiiiiiiiii......:lol::lol::lol:.....Halafu kashasema masista duuu...wat do u expect??!! Hizo ndio features za sistaduu...Kama umempenda kwa dhati huyo mdada na ana mapungufu fulan si una mweleza jamaani...ili ajue wewe unapenda nini??!!..ukilalama JF na kuwaponda humu haitasaidia wewe kupata msichana mwenye mambo unayoyapenda..

nikweli lakini nacho laumu ni kwamba wanakosa akili ya kufikiri kwamba mvulana naye anafulia. Mia
 
Ndo gharama zao hao we unafikiri iphone/blackberry/Lui V/Gucci,ila chamsingi akitaka hela unampa na wewe unakula Kitumbua,mkono kwa mkono

unajua wengine unakuta tunataka kutulia na mtoto mmoja mzuri aliye tulia lakini cha ajabu mambo yao ndo unakuta yako kihivyo. Mia
 
Back
Top Bottom