figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
Habari zenyu? Ukiwaona barabarani wanaonekana wana mvuto wa mapenzi, lakini mbona kwenye 6 kwa 6 ni matatizo? hawajitingishi kabisa. halafu wanakuwaga na mambo mengi, simu kila dakika, message halafu ni watu wa matatizo kila siku wao ni kuomba hela. hata kama ameuchuna siku atakapo kupiga kibomu utashangaa. yaani wanaomba hela utafikili wavulana wanatengeneza hela. ndo maana mvulana akishaona mtu wa hela anagonga na kukimbia kama nyoka. na hii inasababisha wengi kubadilisha mabwana na kuto olewa. Mia