Warangi wana Sifa Gani..?

Status
Not open for further replies.
Ukioa mrangi siku zako za kuishi si nyingi. Ni wanataluma wazuri wa african culture. Huwaondoa waume zao baada ya kuwa na mali.
 
1. washirikina (wengi wachawi)
2. wana ukabila (usiombe ukutane na warangi wawili uko nao peke yako)
3. malaya
 
1. ni wazuri sana kwa muonekano wake kwa waume (beautful & handsomes).
2. nadhani ndio kabila inaongoza kwa roho mbaya. hawana shukrani hata kidogo. (yaani zaidi ya 90% wako hivyo). mfano ukipakana nae shamba lazima kila mwaka aingie upande wako ukishtuka ashamega eneo lako. Ukimuazima kitu harudishi na ukichelewa kudai kinakuwa mali yake. Wanapenda kesi kupita kiasi usishangae anaenda kukufungulia mashtaka kwa mali yako halafu akileta mashahidi wote warangi lazima wanamtetee mrangi mwenzao. KWA KIFUPI NI WATU WA AJABU SANA!
3. Kummega mama na mtoto ni kitu cha kawaida sana. ukioa unakuwa umeolea mtaa.
4. Ni wachoyo sana. Sisi tulikuwa tunataka kushirikiana nao basi ukichinja kuku unamgawia nyama ya paja na yeye akichinja kuku anakuletea nyama ya shingo!
5.zaidi ya 95% ni waislam. wakristo ni wakatoliki wanaotokea mission za MONDO na HAUBI. wakristo wengine ni waliohamia mjini na wakabadili dini ama walio upande wajuu yaani mpakani na babati. nadhani ndilo kabila pekee limebaki bila kuathiriwa sana na ukristo. Dhana ya maendeleo ni kama kawaida si mnajua wote mahali uislam ulipozidi maendeleo huwa yako nyuma sana basi na Kondoa ya warangi ndio hivyo.
6. Wavivu sana na hasa wanaume. wanawake wanajituma zaidi. wanaume wanatabia za kike na wanawake za kiume kwa mfano wanaume ni wambeya kuliko wanawake, wanaume ni wavivu kuliko wanawake, wanawake wanaakili za darasani kuliko wanaume ingawa kwa ujumla muamko wa elimu ni mdogo sana.
7.Hawawezi fanya chochote bila ushirikina. saa zingine wanalogana wenyewe kwa wivu wa maendeleo.

MAZURI YAO.
1. Ni wapole kwa asili. hawajui kupigana kwa hiyo vijiji vyao vinakuwa na amani mda mwingi.
2. wakikupenda (wewe wa kabila ingine) wako tayari kutumia hata ushirikina ili usihamishwe.
3. wanasapotiana sana (extended families). ukifanikiwa mjini basi na kijijini wamefanikiwa.
4. Vinyozi bora sana mijini ni wao.

HITIMISHO
Hili ni kabila ambalo bado linaishi katika mfumo kongwe. Ni ngumu sana kwa kabila hii kuingiliana na kabila ingine. kwa ushauri wangu kumuoa mrangi ni risk 90%.
 
umemaliza kila kitu...ni risk kumuoa mrangi?

Cjaipenda Hiyo Ya Kwamba Wanaume Wana Tabia Kama Za Kike Na Wanawake Wana Tabia Kama Za Kiume Hapo Hauko Sahihi Unadhalilisha Kabila La Wenzio Na Pia Umehukumu Kabisa Sio Vizuri!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom