Warangi wana Sifa Gani..?

Status
Not open for further replies.

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,589
2,140
Wachaga wanapenda pesa,
Wahaya Usomi na Majigambo,
Wakurya kupigana na kupiga,
Wapare Ubahili,
Warangi wana sifa Gani? Tujuzane jamani?
 
Mabinti wapo tayari kushea bwana mmoja hata kama wapo 10 na wakawa wanajua.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Mi nimezaa na mrangi, basi ukoo mzima wananiomba hela, mtoto mwenyewe ana miezi 7 tu sijui akianza kuongea itakuwaje. Afu wanaume kazi yao kuchoma mahindi town.
 
Wengi wao weupe,asilimia kubwa hawajasoma,kazi zao ni uhudumu wa bar na nyumba za kulala wageni,utulivu kwenye mapenzi sifuri..
 
Mi nimezaa na mrangi, basi ukoo mzima wananiomba hela, mtoto mwenyewe ana miezi 7 tu sijui akianza kuongea itakuwaje. Afu wanaume kazi yao kuchoma mahindi town.
pole sana...sasa unafanyaje wanapokupiga mizinga? hivi hawa watu wa huko hawawezi kujitafutia mpaka wategemee dada yao aiyeolewa? kazi ipo kweli
 
>Ukioa kwao,wanajazana ndugu! Na wanajua kuomba haoo
>Wanazaa kwao na hutajua ad uoe!
>Washirikina
(si wote) ..wachache nlowah kuwafaham
 
kwa kweli ni wagawaji wazuri wa uroda,umbea kwa sana,hawakusoma,wanapenda kutajirika ghafla bila ya kutoka jasho na mmoja akitajirika jamii iliyobaki inamsujudia. kwa wanaume sigara kwa sana, mirungi na ulevi
 
hilo la ushirikina naliunga mkono kwa asilia zote...hebu mwaga na zingine unazozifahamu...ni wapenda utegemezi sana..
>Ukioa kwao,wanajazana ndugu! Na wanajua kuomba haoo
>Wanazaa kwao na hutajua ad uoe!
>Washirikina
(si wote) ..wachache nlowah kuwafaham
 
una maana hata wake za watu ni wagawaji? huko hapafai kuoa..lakini mbona hata wanawake wa kipare ni wagawaji vilevile? mi mwenyewe nishawamega kama wawili hivi halaf ndio nikastuka kuwa ni wake za watu...namaanisha wapare...
kwa kweli ni wagawaji wazuri wa uroda,umbea kwa sana,hawakusoma,wanapenda kutajirika ghafla bila ya kutoka jasho na mmoja akitajirika jamii iliyobaki inamsujudia. kwa wanaume sigara kwa sana, mirungi na ulevi
 
siwafahamu sana hawa bandugu ila mengi yaliyosemwa ni kweli kwa uzoefu wangu wa muda mfupi,mademu kushea mabwana,kuhudumu bar,kugawa utamu, Wanaume mirungi,kupiga mizinga na uvivu wa kufanya kazi ni mulemule
 
Waliojaliwa kuwa wazuri huwa wazuri sana pia waliojaliwa wowowo basi huwa ni za kukata na shoka. Ni wacheshi sana na pia kwa kiasi kikubwa wamestaarabika pia ni wapole.

Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom