Waraka wasambazwa

Inshalah chadema iko na alah. kwa jina la mola wangu siku ya kuonja rehema za nchi yetu inakaribia, kamwe hawatofaulu na hadaa zao. Waisilam tuko wengi chadema si kama wadhaniavyo wao. Haki mõla yko karibu na wale wenye kusubiri. Peoples power.
 
Hivi kuzusha haya yote na ajili ya kutaka kuendelea kushika dola..? Mbona ilikuwa rahisi sana kuendelea kushika dola kwa kuhakikisha yale yote mliyoyaahidi kwa watanzania mnayatimiza..! Hata kama sio kwa kiwango cha juu lkn dhamira ionekane na kama umaskini tugawane sawa kwa sawa.. Lakini sasa hamjafanya hivyo.. Kwa maana nyingine mmeshindwa mnabaki kuja na "gutter" politiks.. Shame on CCM...
 
baba yangu alinitumia sms yenye ujumbe huu,kiukweli ni mdini sana nikamwambia nakushukuru kwa kunipeleka shule nielimike

kwa ueleewa mdogo tu ni mbinu ya magamba unaytumiwa na magamba. kwa kuhofia MVC sidanganyiiki

Ndo hivyo bwana Nyanya mbichi, nia ya Magamba ni kutaka kuipunguzia kasi M4C ktk design hii. They are to late in action
 
waislamu wengine ni waelewa. hawadanganyiki na kutumiwa na c.c.m kwa manufaa yao. wasituchonganishe sisi tunaangalia mabadiliko. mbona hata CUF wakati inanguvu iliambiwa ni chama cha kiislamu. sijui sasa imeishia wapi baada ya kuona CUF nguvu zimepungua imeacha. hata kikija chama kingine mbali na chadema kikiwa na nguvu watasema kina udini kwani ndio sera rahisi kwa c.c.m kuwagawa watanzania
 
TCRA na sera za kusajili namba za simu ili kufuatilia mambo kama haya naona wamefeli kabisa!
 
Classmate (Benson Singo Kigaila) hakika juhudi zako zinaonekana ndani ya CDM. Ongeza bidii kaka, CCM wanasahau ya kuwa.....mlango mmoja ufungwapo mwingine unafunguka.....

Kweli bwana, mwambie akaze buti kwani mwenye nchi anajipongeza na totoz za kihabeshi, huku wenzie tunaomboleza majanga ya mbwa wake
 
Ni lini alitajwa riz one au unaongelea habari za vijiweni kwenu? Me najua walisema anaye husika ni mtoto wa mkubwa that all!
mwanzoni walisema ni riziwani kikwete au kuna mitambo mingi tu?
 
Tusifanyie utani uchochozi wa aina yoyote unao weza kuleta madhara kwaTaifa. Mungu apishe mbali na uchochezi huu.
 
Udini, ukabila na ukanda ni mbinu za mwisho kwa mwanasiasa ambazo huzitumia kujaribu kujiokoa wakati anazama bila kujua anajifunga jiwe shingoni!
 
Mtambo wa mwigulu alonunua yerusalemu umeanza kazi zake.

Mkuu Naweza kwa hali ilivyo kama ni kuiba sisi CHADEMA ndiyo tunaweza kuwaibia CCM. Yaani aliyedhaniwa ni panya akawa anafukuzwa na paka NOW ndiye anafukuza.
 
kuna mdau alitupia uzi hapa last week juu ya ujumbe huo Ili kujua kama kuna mwingine kaupata but alichoambulia ni matusi.
 
Akili ni tatizo kwako wewe unayefikiria kwa kutumia kiuno.
Ha ha ha haaaaa umeandika nn sasa hapa mkuu? sio kweli kuwa 97% ya viongozi wa dini moja ? na hili lajulikana hata kwa viongozi wa cdm na ndio maana wakaamua kuwachanganya wakina prof safari ili ku dilute hicho kitu , ila ilikuwa ni kama kutumbukiza tone kwenye bahari
 
Mimi mwenyewe nilipata huu ujumbe kwenye simu yangu sikuuelewa kabisa maana hauna kichwa wala mguu!!!
 
Magamba kwa herini, mnatumia nguvu mno kutaka urafiki na watanzania!!! Urafiki wenu wa vifo, mashaka, mateso, umaskini, ujinga, maradhi, you name all vices!!! Haufai na watu wameelimika!! So sorry!!! Rest in Peace Chama cha Mauji.
 
Back
Top Bottom